Tuachane na Artificial "LOVE" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuachane na Artificial "LOVE"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 22, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Mmmmmhhhhh hili sijui
  yakheeeeeee yamekukuta haya???nakuja tena
  wanandugu kuna hili swala la artificial love unakuta mtu ana mahusiano
  na mwenzie zaid hata ya miaka miwili huku ana madhumuni fulani juu ya mwenzake.....,na baada ya yale abayotaka kutimia anageuka kama sumu ya mamba...leo naomba jamani tuache kuwa na mapenzi feki...kama humpendi mwenzio kwa nini ukubali mpaka mnaenda kuoana then mnaachana baada ya
  miezi..3...kwa nini jamani.....
  kuna mtu mwingine kila uhusiano aliokuwa nao yeye kazi yake ni
  kuumiza moyo wa watu...anamwacha mtu anahamia kwa mwingine....uko nako anamuumiza mwenzie ....sasa anabaki na kazi ya kuumiza roho za watu 2....mi nafikiri ni vyema tukajua hapo tatizo ni ni??unakuta watu wanakaa kwenye mahusiano zaidi ya miaka4 wanaoana tu mmoja wao anageuka nyuki...ndani ya miezi mitatu...sasa bado najiuliza hapa tatizo linakuwa nini
  je ni kwa sababu wanasubiri ndoa??ama wanasubiri mgao baada ya ndoa??
  kama wewe una uhusiano wowote na mwenzio anza leo hii kujiangalia moyni je unampenda kweli ulie nae???ama unampenda kwa matarajio fulani!!@###
  Anza leo hii hii itakusaidia kuwa na amani maisha yako yaliobaki...kweli yawezekana ulikuwa unampenda mwenzio lakini baada ya muda moyo wako umeacha kumdondokea hivyo upo kama aupo...lakini kutokana unaitaji kuwa na mwenza ama mwenzio ana mali za kutosha kuanzia familia unaona hii siwezi kuacha.....acha .....chungulia moyo wako kama haupo hapo "CHAPA LAPA" angali unaweza lia maisha yako yaliobaki kwa hizo hizo mali unazozisubiria..hakuna linaloshindakana kwa MUNGU mwombe MUNGU akupe yule alie wako....MUME/MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA ukilijua hilo nakuhakikishia ukiangalia na wale wenye magorofa yao pale masaki .osterbay mikocheni ambao mume anakaa juu mke anakaa gorofa ya chini...kwa nini hili...kwa nini unataka kuishi kwa pressure..shukuuru yule utakae kuwa nae hata kama hana kitu anza nae mungu atawaletea....kuna siri kubwa sana kwa wale wenye majumba yao unaowaona matajiri wa nchi..mawaziri ...mi nina makatibu wa wizara 3 mmoja mwanamke wanalala vyumba tofauti na wenzao..hili litakusaidia kujua HALI YA MTU AITENGENEZI AMANI NYUMBANI
  Nawatakia Maisha Mema na Chaguo jema
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nitakwambia exacty why watu wanapendana vizuri mpaka wakioana, then wakioana wanapata matatizo na kuachana.

  Kwa sababu ya ulichokiita "artificial love"

  Ndoa ndicho hicho "artificial love"

  Watu wanapopendana wanapendana wenyewe, bila constraints wala obligations, this is reaal love.

  The moment unapoanza kuleta makasisi, ndugu, wakuu wa wilaya inakuwa show tena, wala si mapenzi, ndipo hapo "artificial love" inapoanzia, ndiyo maana watu wanashindwa kuishi katika ndoa, kwa sababu it is a show about appearances and not about love.

  Ukiacha expectations za uongo za ndoa watu watapendana vizuri tu, wao wenyewe, bila pageantry ya ndoa na expectations za "artificial love".
   
Loading...