Unalazimishwa na mkeo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unalazimishwa na mkeo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PakaJimmy, Nov 15, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Niko na wadada/wamama walioolewa hapa ofisini. Wameanzisha thread ya mashambulizi hapa wanasema Wanaume wengi ni kero kwelikweli!.

  Eti hawaendi kuoga mpaka waambiwe, au kulazimishwa au kubembelezwa mara mbili tatu au nne, na mkewe ndo atanyanyuka KWENDA BAFUNI.

  Eti wasipofanya hivyo mibaba mingi tu inapanda kitandani na kuanza kukuroma bila kuoga!
   
 2. K

  Kabogo Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha ha ha!!!!.......Kwani usafi mpaka ubembelezwe
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  PJ ni kweli kabisaaaaaaa, yaani wapo hao 'mijibaba' lkn sio wote!
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ama kupenda ni upofu, si ajabu tabia hizo zilikuwepo tangu enzi za mapenzi motomoto... iweje sasa imekuwa kero?
  BTW, kisu kinakata kote kote...uchafu ni tabia ya mtu, haijalishi ni mwanamke au mwanaume, 'asili ni kovu la kudumu!'
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Nakubaliana nawe kabisaaa!
  Mtu mchafu hajifichi maana uchafu ni hulka.Kama siyo mchafu wa mavazi ya nje..( ya ndani atakuwa mchafu bila shaka)..basi nyumbani kwake au mazingira yake yatakuashiria uchafu.
  Wapo wanawake utawasikia kweli wakilalamika sana kuhusu waume zao hasa wale wapendao kunywa na kurudi usiku wamelewa.Hawa usiwatarajie kuoga maana wakifika nyumbani wanataka waishie kitandani si ajabu wakiwa wamevaa nguo na viatu!
  Ninachoona mimi ni kwamba hawa wanawake ni ile sampuli ya kulazimisha kuolewa bila kujali anaolewa na mtu wa aina gani au hudhania atabadilika akishaoa! Wanawake kama hawa wala siyo wa kuonea huruma maana waliyataka wenyewe.Kama mwanaume mama yake alimshindwa kumfundisha usafi hadi akakomaa na uchafu, wewe ni nani uje umbadili?
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hata wanawake wengine, my wife na joto la dar hili anaoga maji ya moto na kuoga asubuhi hakuna ugomvi ila jioni sasa daily lazima tugombane hataki kuoga, sometimes tukitoka kwenye sherehe na ma perfume anataka kulala hivyo hivyo, kwa hiyo mwenzenu nna kibarua cha kumwekea maji ya moto daily my wife wangu bafuni, nikichelewa tu akipanda kitandani tu kumuamsha ni kazi
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kosa lako mwenyewe hilo mkuu, ungemkunja samaki wakati bado mapenzi moto moto ajue huipendelei tabia hiyo.

  Anyway, hujachelewa sana. Kuwa mkali kidogo, hata ikibidi lala sebuleni au chumba cha wageni kuonyesha hupendezwi na 'harufu' hizo...
  Atabadilika tu.
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:D

  umenichekesha sana VC,

  huenda mimi nilikuwa na tabia mbaya ya kuchunguza sana, ngoja nikupe mifano nilipokuwa na tick sawa au hapana kwenye 'Questionnair' za warembo miaka hiyo ya 47! (siku hizi nimeokoka! :eek:)...;

  1. Nywele
  -napendelea vimwana mwanywele, bahati mbaya wenye vipili pili walikuwapo pia. Iweje mabutu yanayosukiwa mawigi, au hizo extensions zisahauliwe mpaka ziote ukoko aka 'Dandruff'? mpaka leo hii si ajabu kukutana na mrembo wa nguvu lakini nywele 'phoooooaaah!'

  2. Make up
  - si utani, inabidi wengine wajivishe mask kuboresha reception zao, lakini hakuna sababu ya kulala bila kuondoa hizo eye lashes, sijui wanja au mascara... Ukiona mwanamke analala na hayo ujue anaficha mengi kuliko hayo uyaonayo...

  3. Shingo,
  -kama anasahau kusugua shingo yake mpaka ikaota ukoko, ujue kuna sehemu nyingine nyingi muhimu mwilini zimesahauliwa...

  4. Kwapa
  - yaani hakuna sababu inayotosheleza kwanini awe na nywele kwapani!

  5. Kucha
  - Angalau awe na kucha za kiasi basi, sio mikucha mireefu kiasi kwamba unajiuliza anawezaji kujisafisha kwenye tundu za 'kusikilizia'

  6. Body smells
  - kuna tofauti kati ya body smells na body Odour,...iwapo mwenyewe hajui tofauti kati ya kunuka na kunukia basi hata matumizi ya Perfume yatakuwa hayana maana...

  baada ya hapo nilichunguza anapoishi;
  - najua wengi wanakurupuka kusifia sebuleni na mapambo ya ukutani, binafsi sidanganyiki na hayo...
  macho yangu yalifanya kazi ya ziada maeneo haya;

  7. Toilet/bathroom
  -ni mtumiaji wa maji au toilet paper pekee?

  8. Jikoni kwake
  - Kuna mmoja kopo hilo la bafuni/maliwatoni, ndilo alokuwa anachotea maji ya kupikia, kukogea na huenda hata kujisafishia!

  9. Anavyoandaa vinywaji/chakula
  - Ukiona Bi mrembo hajui hata maana ya glass towel, almuradi anakuletea bilauri ya maji ikitiririka maji nje na ndani, kama hilo halitoshi kwa mbali unasikia kashombo ka samaki ujue kuna kazi huko mbeleni!
  kisha namalizia na;

  9. Nguo zake hasa za ndani
  - Kwenye malavi dovey, kuna wale ambao kufumba na kufungua unakuta weshavua kufuli zao, iwe baada ya kulazimishwa uizime taa, au baada ya kujifunika gubigubi...! waogopeni sana hao...

  Enzi za u bachelor nilikuwa nafanya kazi ya ziada kuhakikisha naijua 'siri ya urembo' kwanini 'kufuli' ilikuwa inafichwa, na kweli... mara kadhaa nilikutana na binti wa nguvu lakini 'kufuli' dhooful hali!

  Anyway, baraza la jumapili hili... kesho j'3 tukalijenge taifa :D
   
 9. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2009
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nilipooa siku za mwanzo mai waifu wangu alinidokeza ati nikikoroma yeye huwa anapata usingizi mnono kama vile muziki mzuri unampitikia sikioni mwake, sasa mambo yamebadilika ninalala sebuleni kwani anapiga kelele, eti majirani wanalalamika nakoroma sana na yeye hawezi kulala eti kwa kelele zangu
   
 10. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ....ni kweli hata mimi zamani sikuwa naoga kila siku. Ila nilibuni style mpya ambazo naweza kugonga bila yeye kupata harufu ya kikwapa....

  Siku hizi naoga kila siku na kujinafsi na lotion kabla ya kulala lakini mijike bwana, eti sometimes anashangaa na kuhisi labda nakuwa nshagonga nyumba ndogo...
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...duuuh, ama kweli kwa 'masela' kula lazima kukoga hiari!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  VC,
  Hujui watu wanapoenda kuoa hutengeneza ustaarabu wa BANDIA?

  Hujui tabia za kwenye `hanemuni` si za kweli kati ya wenza?

  Nadhani usiwalaumu hawa wamama, maana mkenge huo hata wewe unaweza kuuvaa kirahisi!
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mhh ndoa zina mambo jamani....
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  nimecheka cna mbavu....jamani Mbu umeniacha hoi kabisa mana ulivyowachambua...mweh
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ohoooooo.....Nyamayao bado uko under-age nini?

  Unashangaa kwani kuna kituko hapo...!

  Hujasikia ndoa ambazo baba akirudi toka kwenye mijadala ya huko Bar ni lazima familia nzima waamke na kuanza kumsalimia baba, bila kujali ni saa ngapi!... Mnaanza Shikamoo Baba!...kwa foleni na kwa magoti, toka mdogo hadi mkubwa wao, na kisha mama yao??
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Im thankful to GOD this will never ever happen!....
  nitavaa mkenge kwingine lakini siyo kwenye usafi hata siku moja:
  1.My man lazima aoge at least ( kwa uchache) mara mbili kwa siku - asubuhi na usiku kabla ya kulalia my white bedsheets.
  2. Atalazimika kutumia white towels.....kuvaa white pants/boxers,vest na kubadili kila anapooga, kutokurudia nguo mara mbili
  3. Atakuwa na bathroom- use ettiquet - lift the toilet seat, no spilling, use toilet brush incase u mess up, leave the place clean for the next user.
  4. Ni marufuku kuwa na mijidevu - unyoaji ni muhimu na lazima


  IT IS POSSIBLE LADIES...KEEP LOOKING UNTIL U FIND ONE OR CHANGE HIM BEFORE YOU TIE THE KNOT LOL!
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ma bro kituko kwangu hapo ni limtu lizima kulazimishwa usafi wake wa mwili wake mwenyewe....hakuna la ziada.
   
 18. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hiyo mibaba isipewe mlo wa usiku
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180


  VC...Mswalie mtume dadaake...!

  Usiwalostishe wenzio we mdada!

  Unataka wazeekee kwa baba zao?

  Hujui warembo wanazaliwa kila siku, na wanakuja na kasi mpya ya KUDANGANYIKA?

  Pia hayo masharti yako baadhi mbona ni ya juu sana!
  Wewe mwenyewe una qualities gani hadi utake huyo "mr innocent"?
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahah hii Topic ina ukweli wote kuna baadhi yao hawapendi kuoga basi akipita karibu yako kikwapa kile unaweza kuzimia
   
Loading...