Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.4K
Threads
7.9K
Posts
231.4K
Je, ni Muhimu Kiasi gani? Je, sex ni muhimu katika ndoa kiasi gani? Wanandoa wengi wana struggle sana ili kuhakikisha ndoa yao inakuwa ya kuridhisha ingawa ni kweli ndoa yoyote imara huhitaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mke wa Professor! John ni professor katika chuo kikuu kimoja nchini Canada. Huandika papers za nguvu, na kutoa lectures zenye heavy stuff na hutumia muda mwingi sana library. Mke wake ambaye...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna mwanadada mmoja ambaye ni miongoni mwa watu wasomi sana. Amemaliza chuo hapa mlimani. Wakati alipokuwa chuoni aliibahatika kupata mchumba ambaye walikubaliana kuoana. Na walikuwa katika...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Ni Afadhali! Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. (Mithali 21:9)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hi, here's something funny to make u smile.... nothing serious...just something to laugh about.... have a good day!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
http://www.youtube.com/watch?v=0VsBYyNe-Ag
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I was staying with Joyce for three days while my parents went to Kenya for the funeral of Uncle Jack. “Joyce ” as I had always known her was not actually my aunt but Mum’s friend Jennifer, but...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Women! Without them, men would only remain as latent seeds locked in our fathers' loins without hope of being occupants of the earth. They are the only ones that learn 'how to push' without a...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
There are so many jokes and myth that blondes are stupid. Is this true? And if so, what's the reason behind it? Msaada jamani.....
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Kipimo mwatupimia, Mwajua twapungukia, Lakini mwasubiria Kuona tutapatia; Sifa mnatutajia, Za yule mwatamania, Kila tukiangalia, Vijana tumefulia, Twabaki twatamania, Kama sungura wa hadithia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hi! Babs, wo sapu yo!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
jana nilitumiwa link ya site moja inayoandikia watu mashairi (poems) na kuzidedicate kwa wapenzi wao online bure. Nikaicheki sio mbaya, ingawa mashairi ni mistari minne tu and its in english...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unaweza kustaafu mpweke! Kustaafu kazi huwa maisha ya upweke sana kwa wanandoa kama waliishi maisha yakukuwa bila mawasiliano kwa miaka mingi. Wanandoa wawili ambao mume alikuwa anapenda sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Five Ways to Keep Your' Children Safe from Predators It's always foolish naivete to rely completely on the government to protect our children so here are five ways to keep our little ones safe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika vitu vinavyonisikitisha ni pamoja na hii tabia ya wanaume wanapokosana na kufikia kutengana na wake zao mara nyingi wamekuwa wakijikuta wametengana na watoto wao pia! Sina hakika ni...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Would You Wear A Black Wedding Dress? The black, a color traditionally saved for funerals and looking street chic, is the new color choice for wedding dresses among modern brides. While I...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This is a true story that happened in Japan. In order to renovate the house, someone in Japan breaks open the wall. Japanese houses normally have a hollow space between the wooden walls...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
MARAFIKI Je wewe ni rafiki mwema? je wamtakia nduguyo maisha ya amani kwenye ndoa yake? je utafaidika ni ni ukihusika katika kuvunja ndoa ya mwenzio?? Ndugu wapendwa nimeona ni vyema leo...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wapwa ni muda sasa toka mpwa Kaizer atoe thread ya get tugedha ya Mikumi sasa umefika muda muafaka wa kukutana wapwa na ku analyse cost za huko tutakako enda kama nilivyo pendekeza initial cost...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…