Kwa wale wanaopenda "romance and lovie dovie" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wanaopenda "romance and lovie dovie"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Soulbrother, Nov 26, 2009.

 1. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jana nilitumiwa link ya site moja inayoandikia watu mashairi (poems) na kuzidedicate kwa wapenzi wao online bure.

  Nikaicheki sio mbaya, ingawa mashairi ni mistari minne tu and its in english.

  Imenipa wazo la kumdedikatia ninayemadmire hapa JF shairi labda atajibu :)

  site hiyo hapo!

  http://rhymesandlines4u.wordpress.com/
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  da..
  lazima wenye wake wawadatishe sana wake zao,
  nimepitia mistari michache,
  imesimama ile mbaya.
   
 3. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeona kitu walichoniwekea cha bagamoyo na lovie dovie, mtoto alisoma akaniona juu kinoma...
   
 4. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Safi sana. ndo faida za JF kwa kweli ndoa zitaimalika sana. Ila tungalie sana kwani wife anaweza kushituka kwa sababu previously hukuwa na jumbe tamutamu hivyo anaweza kudhani umeopoa kimwana sasa unashift sms zake kwa wife wako
   
 5. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wakati mwingine mawife wana mambo, usipoonyesha mapenzi, humpendi, ukionyesha sana una kimwana pembeni... sijui tufanyeje
   
Loading...