Ni Afadhali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Afadhali!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 26, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Ni Afadhali!  [​IMG] Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi.
  (Mithali 21:9)

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huyo jamaa anaishi hapo au ndo alikuwa anarekebisha hapo sehemu iliyoezuliwa na upepo, MAANA SIJAONA MIFUKOMIFUKO YA rambo JIRANI YAKE!
  By ze way, Mke akiwa mkorofi ndani, utatamani urudi saa ambazo yeye alishalala, na uondoke kabla hajaamka. Unakuta kazini panakuwa na faraja kuliko nyumbani...lol!
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  na waume zetu wakiwa wakorofi ndani tufanyaje, lilevi, gubu nk.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Vumilieni!
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  na nyie ndo mvumilie pia.
   
 6. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wanawake ndio wamepewa moyo wa uvumilivu zaidi inapofika suala la mapenzi. Kwahiyo dada NY endeleeni kutimiza wajibu wenu
   
 7. A

  AM_07 Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  drink untill she become cuti
   
Loading...