Napenda kukiri wazi kwamba nina tabia ya ajabu sana katika mahusiano yangu na mama Ngina. Sijui niite ni ila mbaya au ni udhaifu au ujinga.
Katika maisha yangu na mke wangu tangu tuoane...
Imekuwa ni tabia ya kawaida sana miongoni mwa wamiliki wa simu kutopokea simu ambayo namba yake ahijui. Hata hivyo ni ujinga wa kutojua matumizi hasa ya simu. Inawezekana nduguyo kapatwa na...
Dedicated to all Married Couples
They say that marriage makes a man dizzy, and it's true.
As soon as I got a wife, I lost my balance at the bank.
Men want THREE qualities in their wives...
Hii ni barua ambayo Joyce Kapushi alipewa barua ya kwenda kupumzika kwa baba yake aitwaye Saidi Kapushi, kwa muda usiojulikana bila ya mumewe kuitwa mahakamani au katika baraza lolote la...
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua...
Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu...
HI JF! kuna bint Mmoja 2likutana kwa mara ya kwanza 2kiwa mm 6yrs na yy 5yrs.Nimezaliwa 11/8 na yy 12/8 mwaka mmoja badae.wen 2lipokuwa kids ckuwah kupata hisia za lov ju yk.2lisoma p"mary na...
The number of Ugandan boys and girls keeping their virginity is steadily going up, according to the results of a newly released survey.
The Uganda AIDS Indicator Survey 2011 preliminary...
A SAD LOVE LETTER
Najua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu...
Ndugu zangu wana jf,mi kiukweli nataka nipate bunduki kubwa na ndefu, maana kwa nguvu kako fresh.
Nimejaribu kutumia dawa za kimasai na nyingine lakini haibadiliki.
Mwenye kujua dawa yenyewe...
Wapendwa habari za siku nyingi,
Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee...
Naishi na mtoto wa dadaangu ni mdogo ana miaka mitano yuko darasa la kwanza ni mkorofi kupita kiasi nadhani tv pia zimechangia huyu mtoto hana woga kichwani mwake, kujieleza kama wakili, anafanya...
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu.
Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!!
kila nikimuuliza...
Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na...
Mnivumilie kwa kufanya hii topic ijirudierudie, ila ingekuwa heri mkaielewa hivi....
1) Mwanamke kutongozwa ni njia mojawapo ya kuonesha Glories of being a woman ambazo ni beauty, feminine...
Stop getting involved in relationships for the wrong reasons...relationships must be chosen wisely...its better to be alone than to be in bad company..there's no need to rush...if something is...
nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu
ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital....
mara ya...
Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke...
Maneno haya yalitamkwa na wadada wawili walokuwa wakienda 'General Hospital' toka nkuhungu kumpa pole shostito mwenzao aliyepata shinikizo la damu baada ya kuporwa mpenzi wake na mwanamke...
Naitwa Kelvin,nna miaka 26,home ni Mwanza ila kwa sasa nipo masomoni Dodoma,chuo kikuu.Natafuta msichana aliye serious na tayari kuwa mchumba wangu na hatimaye ndoa kuanzia miaka 18-24.Mimi ni...