Natafuta Mke

Jan 2, 2011
12
2
Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke wangu.Awe muislamu,umri kuanzia miaka 22 mpaka 28,Elimu angalau kuanzia kidato cha nne,awe mrefu kuanzia sm 170 na kuendelea, awe serious katika suala hili.Namba za simu ni 0762269874 na 0712050224 au unaweza kunitumia barua pepe kupitia hassansaid2010@hotmail.com au hassansaid1040@yahoo.com,Asanteni
 
Haya wadada! New deal !
Changamkieni zabuni.
Kuna wanaotafuta ndugu wa damu, ndugu wa hiari ndugu wa SHUKA, huyu wa Shuka ndiyo mlengwa hapa.
 
kaka wa bandarini uliowachoka na wa humu sawa sawa tu.bora ukatafute kwingine.
 
Hii siriazi au naota?

Unatafuta mke au majuto? Tudada twa humu ndio hutu tunakobadilishana maujanja juu ya namna gani wafanye ili watongozwe zaidi na wanaume wanapopita njiani. Kwani ukitega msikitini unakosali huwezi kupata jembe la maana?
 
Huko Bandarini unaendesha kreni aina gani? Gotwald au Reach Stacker?

Unapakua meli moves ngapi kwa saa? Unafanya kazi za shifti?

Unalisaidiaje shirika kupunguza msongamano wa mizigo bandarini?

Kila la kheri! Mabinti wa JF wanapenda sana makuli.
 
Hilo nalo neno Bumpkin ila ni kweli nipo serious kwa hili na wala si utani naamini kupitia mtaandao wapo walio na tabia njema
 
Duh... hii kali..ivi inawezekana kupatya "mke" kwa jinsi hii?? Nadhani unatafuta "mwanamke" na kwa jinsi hii utampata......
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom