mume hatoi unyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mume hatoi unyumba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AMINATA 9, Mar 18, 2012.

 1. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu
  ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital....
  mara ya kwanza alikua anarudi sa moja au akichelewa sana sa mbili ila alikua hazidishi hapo......miezi 6 iliyopita akaanza kuja sa nne usiku na sa ingine asubui akija anatoa sababu kuliletwa mgonjwa kazidiwa sana aliitaji msaada wa haraka so wakabaki kumpatia huduma ,sa ingine anasingizia majeruhi wengi wa ajali leo,mara ooh! nilikua namsaidia doctor mwenzangu kazi kidogo......
  ikaja ikafikia hatua hata unyumba hampi shost wangu anamuambia leo nimekutana na mtu kaharibika kila sehemu sina stimu nipe tu wine nilale mana akili imechoka,mara majeruhi wa ajali leo wamenichefua,mara leo nimeona mgonjwa wa cancer sina mood kabisa hata ya msosi(akawa na akija anasema kashiba kabisa hawezi kula)
  yani ikawa kila akirudi anakuja na stori ya kuhuzunisha kuliko ya jana yake ili umuonee huruma na kuacha kumuuliza kuhusu unyumba yy alale tu......badae akaanza safari za mikoani mara nimetumwa kikazi,mara nimetumwa kwenda kusaidia hopital ya mkoa moshi kcmc,mara morogoro,mara mbeya yani ikawa inapita hata mwezi hajamuona home anapiga tu simu kua kashindwa kurudi anatuma tu pesa M pesa na kulipa bili ya umeme na maji ju kwa ju
  siku moja karudi anamkwaruzo mkubwa kiunoni akasema eti meza ofisini ilimkwarua khaa!.......shost analipiwa ada na huyo mumewe mzumbe university na mdogo wake yuko CBE mwaka wa pili wote analipia huyo mume sasa anashindwa kuondoka mana akiondoka service zinatoweka zote izo......
  jana kanipigia simu kua ana miezi 5 hajamgusa wala kuguswa na mumewe eti akimuuliza anajibiwa umekosa nn hapa ndani kama ni hela nakupa na card moja ya bank unayo wewe ukitaka hela katoe,umeme nalipa,maji,kodi .pia unasoma unataka nini zaidi na nishakuambia sina urithi wa kukuachia zaidi ya elimu so nitakusomesha mpaka mwisho
  mm nilitaka kumuambia ondoka ila roho ikasita badala yake nikaishia kumuambia pole mpz..............nimekuja huku kuomba ushauri nimuambie nini sasa huyu shost wangu mana namuonea tu huruma asije kuuliwa na HIV......
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mwambie amchunguze pengine kaanza ubwabwa. Mwanamme rijali hakatai unyumba hata akiwa na vimada 20 nje, tena akatae unyumba miezi 5?? gademu!
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahaha sasa wewe nae wachekesha...atauliwaje na hiv wakati watu wenyewe hawakutani...haahaha
  huyo yee apate elimu yake na apate mshefa wakumpa utamu huko mzumbe.
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hapa kuna tatizo kubwa saana Aminata.... Huyo Mke kwa upande wangu namuona kana kwamba ni very SELFISH.... (Sorry dear kama nitakukwaza for she is your friend...) Sababu za mimi kufikiria yupo selfish ni as follows....

  Kwanza... Hio story the way rafiki yako kakusimulia (taking it for granted kua umeandika kama alivokusimulia); Ni kana kwamba anataka awe sympathised kua yeye ndie anae onewa na mwanaume ndie wa kulaumiwa na afikiriwe kua ana mienendo mingine hasa huko nje hasa ya wanawake wengine.... Labda nakosea ila mimi ninavoelewa... Kwa mwanaume ambae ana hawara nje kwa miezi sita akujia usiku na mara asubuhi; kama kweli hilo ndio linalomuweka huko nje angeleta jeuri kwa mkewe kwa kutojali kama mkewe atajua kua ana mwanamke ama lah! IMO kama for 6 months ndio hivo hivo na mumewe anakuja lalama ugumu wa kazi nyumbani.... yawezekana ni kweli bana.... After all ma Doctor waligoma, na wale ambao walikua na roho ngumu ya kutokubali kuacha wito wao wa kujali wagonjwa kwa kweli wameelemewa.

  Pili... Inaonesha wazi kabisa kua hampendi mume wake.... For jinsi maelezo yalivo ni wazi mume hajapunguza upendo na huduma ndani ya nyumba ndio kwanza kakazana na yupo reliable na responsible sio tu kwa familia yake (mke na mtoto) hadi ndugu wa mke.... (Kama upendo/mapenzi yangepungua inaonesha wazi huyo rafikiyo angegusia na hizo pande) Lakini kuto gusia kwake ina maana hata hajatafakari hili la Upendo na Mapenzi.... ila tu kazingatia tu tendo la 6/6 (nayo sio sababu hajapata) ila kuonesha tu kua anaonewa. Ukizingatia ni wazi anaishi na mumewe sababu ya huduma anayopata hawezi pata pengine.

  Kwangu hio inanifanya nione anaibomoa nyumba/ndoa yake kwa mikono yake miwili.....

  HOWEVER


  • Kuna baadhi ya kazi ambazo wanaume hufanya na kuwachosha mno.... To the extent hadi ile wazo la kufikiria kwenda kubanjuka (na twajua nguvu watumiazo pale) inamfanya ashindwe kabisa kufanya tendo. Hata hivo miezi sita ni mingi, angeweza hata jitahidi atake lakini akamiliza ndani ya sekunde.
  • Yawezekana mumewe ana psychological problems ambazo zimeathiri hadi nguvu zake za kiume.... Kumwambiea mke wake labda anaona aibu na kuona kama anaji emasculate; hivo kaongeza bidii na mda wa kufanya kazi ili tu kuepuka kua mda mrefu na mkewe kitandani.
  • Na kweli yawezekana ana mwanamke..... Ila jinsi story ilivo kaa kaa.... IMO Siamini kua ndio kigezo za kushindwa timiza tendo.

  AU kama Lawyer Kloro alivo ongea......lol.... It may be true bana maana maadili haya! Only God knows.
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kishatekwa na wajanja wanaojua kutoa gemu la ukweli... btw, everything being equal, kukosa unyumba tu kunaweza kumfanya mtu akimbie ndoa?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  pal, yawezekana huo msosi home pia hauliki... angekua bwabwa mama angeshajua tu, mabwabwa hayajifichi, hasa yakilala

  i think kuna issue kubwa hapo, some people bifu huondoa kabisa hamu ya duduz, ila pia dokta anaweza akawa kapata mtu ambaye kila siku anakamua hivyo dokta akifika nyumbani ka-abdala kanakua kameshanyauka kama mkia wa kitimoto
   
 7. S

  SI unit JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Goodevening AD
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Good evening to you too.... I hop and bliv you have been well and good. SI Please say something on the topic
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I love you from the bottom of my heart, you are a wise woman!!! many sexual relationship ndani ya nyumba zipo complicated, na wengi huishia kulalama bila kuangalia kwamba they are falling short

  but we may not rule out a better sex somewhere else especially kama mama anaonyesha frustration and no support to their sexual relationship...

  i usually have one belief, ukisikia mwanamke anasema hajaniandaa vizuri, ujue huyo hajui mapenzi... KWISHA!!!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna watu wengi, wake kwa waume wanadhani mapenzi ni for granted and a marriage sex is a duty....
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  pal, sex ni relationship and it has mind and soul entangled, kama hakuna mahusiano ujue hakuna sex unless unamtreat huyo mwanamke kama kipozeo
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  In Blue: I am Sooo HUMBLED...... Thank U.

  In Green: 100% Reciprocated.

  In Red: Kwa kuongezea..... Mara nyingi wengi hudhani kuandaliwa vizuri ni one-sided effort. Hata hivo kuna guys wana haraka saana ya kutaka ingia before maandalizi, na ni tatizo kubwa kwa akina dada/mama ambao cumming to them ni kazi ya ziada.


  Hapo Pal you have defined making love..... Kipozeo ndio hapo mnapo sex...
  na in most cases the mind and soul hai matter kabisaa kwenye sex....:wink2:
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kamanda inawezekana tuko tofauti lakini mimi miezi mitano kwangu mingi sana aisee, labda nikubaliane na wewe kwamba jamaa mapenzi kwa waifu yametoweka (kuna chuki ndani ya nyumba) na ana vimada na anavitumia kumkomoa waifu wake. Lakini hii inanipa shaka kuiamini kwasababu jamaa anasomeka kwamba hana tatizo na waifu kimaongezi na kimawasiliano (refer to those stupid excuses of his).
  Niulize suala,
  hivi mwanaume unaanzaje anzaje kukataa unyumba kwa miezi mitano na still ukategemea ukuwe refered kama mwanaume na wife wako? Hauoni kwamba jamaa tayari amejivua stage moja ya ujanadume?
  Anamkomoa? I dont think so. Haoneshi hivyo kwenye excuses zake
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwenye red, kipozeo ni mnapoamua kushusha genye tu!! nothing emotional involved, in many cases women enjoy more than men, but they dont like to talk about it
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli aisee

  pia inawezekana kabisa, ni wiki tano tu, sema mama genye imevuka mpaka anahesabu wiki kama miezi
   
 16. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hehehe aiseeee!!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yuko wapi siku hizi, hii mada inamfaa sana
   
 18. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kusoma hajui hata picha?? Atafute na yeye wa nje amuondoe ngale basi na card anayo akadraw hela aendelee kuenjoy.
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  shosti yuko wapi siku hizi, hii mada inamfaa sana

  pal

  genye ni soo, unaweza kuona dakika kama karne
   
Loading...