Jama ndio kazi ya kuwa mlezi hv mbona nashidwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jama ndio kazi ya kuwa mlezi hv mbona nashidwa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by G spanner, Mar 19, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naishi na mtoto wa dadaangu ni mdogo ana miaka mitano yuko darasa la kwanza ni mkorofi kupita kiasi nadhani tv pia zimechangia huyu mtoto hana woga kichwani mwake, kujieleza kama wakili, anafanya ambacho kichwa kimemtuma,fimbo kwake ni kama ukali wa dawa kwamba ataupata mara moja na utapotea, uharibifu kwake ni sheria anaharibu makabati rimoti na kila anachokipata akiwa peke yake, shuleni haandiki akiandika hasaishi madaftari na kalamu anapoteza mara nyingi sana, akitoka shule anapenda kwenda kuzurula na sisi mda mwingi tunakuwa kazini kwa sasa ameanza wizi ela ya shule nampa kila siku juzi imepotea elfu kumi na tatu anasema ye alibeba elfu tatu tu akaenda kununua juic na biskuit
  Hiki kitoto ni kama kijini sijui nikifanyeje au nikichanechane na wembe mda wote kitakua kikijiona kinakumbuka na kuwa kitulivu! Msaada jamani!
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  dah! Unaonekana unahasira sana mkuu! Just imagine angekuwa wa kwako wa kumzaa ungemfanyaje? jibu lake ndo unachotakiwa kufanyanya.....
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  miaka 5 mnampa hela ya nini?
  Kwa nini msimpeleke shule yenye chakula?
  Humo ndani hakuna rules? Miaka 5 akirudi shule analala sa ngapi

  tv anapoangalia nani anamsupervise?
  Mnampa adhabu gani anapokosa?
  Mnazungumza nae anapokosa?
  Anamapa malezi ya karibu?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  miaka 5 bado mdogo mno.

  Hela za shule mtoto mdogo huyo? Anaijua hata 200 inafananaje.

  Nenda naye step kwa step, hatabadilika kwa siku moja.

  Mpakie chakula cha shule achana na hela.

  TV aangalie vipindi vya katuni tu sio akina Vandame na Shoziniga wakimwaga damu.

  Mpende na kumweka karibu ili ajione ana thamani ndani ya familia ka kuacha kuwa defensive.

  Ongea na mwalimu wake ili ampe attension ya kutosha darasani.
   
 5. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkubwa ossy kiukweli angekuwa mtoto wangu nisingekuwa na mda wa kujifikilia lazima ningempa makovu ya kudumu ambayo nadhan yangekuwa ni alama ya utulivu kila ambapo angepata maumivu na hata baada ya maumivu kuisha. Isipokuwa pia najifikilia pia kuna swala wanaita unyanyasaji wa watoto lkn hawa watoto wanaudh jamani.
   
 6. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  rekebisha tabia huyu mtoto tunampa mia tu ili mda wa break aweze kununua chochote na kumpeleka shule yenye chakula kama boarding uchumi haujakaa vizuri! Khs tv hapo kumlimit na kama unavyojua tv zenyew kila baada ya sekunde mambo yanabadilika mara matangazo ya tamsilia za vita kwa yeye hata katuni kwake zinaingia kama zilivyo kichwani kwake, adhabu huwa tunampa ya fimbo ila sasa yeye ni sugu! Na tunajitahid mara kwa mara kuongea naye ila yanaingilia skio moja had lingine hapana inachosha na kwa sasa hatuna mfanyakazi tuliyekuwa naye alifaulu khy hata akirudi funguo tunaacha kwa jirani cha ajabu akibadili tu nguo kuzulula tunamweleza kwa undani cha kufanya ila kesho yaleyale! Ah inachosha
   
 7. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu kongosho ela tunaona ina umuhimu wa kumpa hata mia wakati wa break! Kwa kumpa chakula kwa shule zetu za kata ni ngumu! Kuhs cha kuangalia kumlimit sana ni ngumu kwasab hata ikipatikana jakshen tukamzuia hata akienda kwa wenzake kucheza atazikuta na hata katuni anazimeza kama zilivyo bado ni ishu na hzo ndio huwa zinampa munkar za kijinga sana! Na tunamjali sana! Tutajitahid kuwasiliana na mwalim japokuwa mwaka jana pia hadi tulimsimamisha shule walim walisema labda ana mapepo! Ni ngum kwet
   
 8. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  kuna magonjwa ya akili ya watoto ,mpeleke kwa daktari wa afya ya akili wanaweza kukushauri vizuri zaidi.....na ikitokea hana tatizo lolote la akili usijali ,we endelea kumlea kwa upendo atabadilika taratibu japo inaweza kuchukua miaka.
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyo mtoto anakusumbua kichwa maana mmeshamjengea mazingira ambayo yeye anaweza kufanya swaga zake-
  mpe bakora za ukweli-lazima atulie
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kwanza tafuteni msichana wa kazi, maana kwa maelezo yako mtoto yupo huru, yaani anajilea
  mwenyewe....... Na kipindi hiki cha mpito ikiwezekana hata tv ikae chumbani kuzuia access.

  Badala ya kumpa hela mpeni chakula aende nacho
  shule, si vyema mtoto azoee pesa mapema, atashawishiwa mapema na mojanaume miroho......

  Kuweni karinu na huyo mtoto, na kama alivyosemaa Kongosho hapo juu, zungumza na mwalimu wake amwangalie mtoto kwa jicho la ziada.

  Na nyumbani mumpe mtoto attention ya kutosha   
 11. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ok we will try to do that as we can! Bt that child is he. Ok thanks.
   
 12. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red salute mkuu, nimejifunza kitu
   
Loading...