Mdogo wangu ananifunulia mchumba'angu!

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?
 
Kufuata nyayo za Dada ni pamoja na kutunguliwa. Kama bado hajatunguliwa jua hilo nalo linakuja tena kwa haraka sana
 
Mi nilidhani anarusha ndoano, kumbe anasema tu stori zako...sioni ubaya!
Kwanini wewe unamficha huyo mchumba, au mzee unamdanganya umemwingia kwa gia ya ndoa, na unataka Hit&Run!
We acha apewe Live, mwenyewe asuke au kunyoa, kuliko akija kuyapata baada ya kusaini gamba!
 
Unaishi na mdogo wako nyumba moja? Kama vipi mrudishe kijijini asikuharibie maisha, kwanza unaweza kuta anamtongoza shemeji yake kijanja.

Note:Jifunze kutoa like basi hata kama unatumia cm ndio mwaka mzima haujagusa PC?(joke)
 
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?

Kwanza: Anachokifanya mdogo wako si ustaarabu hata kidogo. Hakupaswa yeye kuingilia mahusiano yako na huyo dem wako hata kidogo. Kwa sababu ni mdogo wako, muite na umuonye aache hiyo tabia na kama ataendelea kufanya huo umbea utamtimua nyumbani.

Pili: Na wewe Bambanza jr, hapo penye red inaonyesha mwenendo wako wa kitabia si mzuri na inawezeka ndiyo sababu ya huyo mdogo wako kumuonea huruma shemeji yake mtarajiwa kuwa anaingia choo cha kike kwa kuwa na wewe. Jaribu kujiheshimu na kuwa na tabia njema uwanyime watu kitu cha kukusema. Saa nyingine matatizo ya kusemwa yanatokana na ubaya wa tabia na mienendo yetu katika jamii.
 
ongea na dogo kuhusu tabia yake....

mpige biti mwenza wako, mazoea na dogo marufuku
 
Unaishi na mdogo wako nyumba moja? Kama vipi mrudishe kijijini asikuharibie maisha, kwanza unaweza kuta anamtongoza shemeji yake kijanja.

Note:Jifunze kutoa like basi hata kama unatumia cm ndio mwaka mzima haujagusa PC?(joke)

ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Joke bt thanx kwa kunipa ukweli.
 
Kwanza: Anachokifanya mdogo wako si ustaarabu hata kidogo. Hakupaswa yeye kuingilia mahusiano yako na huyo dem wako hata kidogo. Kwa sababu ni mdogo wako, muite na umuonye aache hiyo tabia na kama ataendelea kufanya huo umbea utamtimua nyumbani.

Pili: Na wewe Bambanza jr, hapo penye red inaonyesha mwenendo wako wa kitabia si mzuri na inawezeka ndiyo sababu ya huyo mdogo wako kumuonea huruma shemeji yake mtarajiwa kuwa anaingia choo cha kike kwa kuwa na wewe. Jaribu kujiheshimu na kuwa na tabia njema uwanyime watu kitu cha kukusema. Saa nyingine matatizo ya kusemwa yanatokana na ubaya wa tabia na mienendo yetu katika jamii.

thanx, lkn sipo hivyo siku hizi!
 
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?

Mpige makwenzi huyo dogo haiwezekani awe na utovu wa nidhamu kiasi hiki.
 
Mbna mia tu. Usimpige Dogo wala nini. La msingi ongea na mchuchu kabla yake alikuwepo mwenzake. Na ndo uhalisia hata kabla yako shem alikuwa na mwingine mkuu.
 
Dogo yuko na niya nzuri, anajiribu kutafuta njia nzuri ya kupunguza speed yako ya kuharibu..Kwa hiyo kwa kumwelezea shemeji yake itakuwa vizuri ili awaze kuweka stategy nzuri za kukuzuia. Sioni kibaya hapa..kwamba uonekane malaika kumbe ni destructor mkubwa. badili tabia!!!
 
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?

hiko kichwa cha habari nilidhani anamfunuwa chupi, nikwambie kizuri kula na nduguyo.
 
Heshima kwenu! Sijui nimfanyeje mdogo wangu wa tumbo moja, kwan nilimwamini sana hata nikimkuta na shemeji yake sikuwa na shaka kwamba kinaweza tokea chochote kibaya lakini nashangaa dogo anafunua uozo wangu wote, mara amueleze mchumba angu madem nliodat nao long time! Nifanyeje jamani?

Mwongo wewe, umetuambia anafunua uozo wako wote, mbona hapa umetuambia kuhusu wanawake zako wa zamani uozo mwingine ni nini?
 
Uwezo wa kufikiri na uelewa wa mdogo wako unaufahamu wewe. Kwa mfano anaweza kumwambia mkeo ulivyokuwa mbishi, mgovi, ulikuwa unabadilisha totoz...Hapa anaweza akajenga uhusiano wako kwa mwanamke amabye mwelewa na mdadisi wa kutaka kujua madhaifu yako.Pia anaweza akaanza ahaa bro alikuwa na demu moja huyo bomba kuliko hata wewe shem, halafu yupo hapa hapa mjini, au fulani na fulani shem hawakupend wanakusema vibaya ujue panaharibika hapo. Ila kama haumheshimu mke wako, hauna muda wa kuchat naye sana unaishi kidikteta kinachofuata mdogo wako atakula mzigo.

Ushauri wangu muite dogo mweleze kiutaratibu kuwa masuala ya nyumbani kwenu huko ayaache nyumbani kwenu na asiongee kuvuka mipaka.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom