Wakina dada wa jf tu kwa umakin naomba mseme wenyewe huwa mnabeba nini kwnye mipochi yenu manake, juzi namwona dada mmoja had kapinda mabega kisa beg la kila sku. Tusaidien jama.....
Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna...
Wazazi wanaoishi Unguja wana mtoto alioko London walimtafutia mchumba mwana wao na wakaamua kumuagiza ndugu yake amuolee mchumba huyo kisheria hapo hapo unguja, bwana harusi wa london akaja...
Wakuu.
Nina Girlfriend ambae yupo mbali na mimi kiasi kwamba tunaweza kukaa almost 6 months hatujaonana ila tatizo nililonalo ni kwamba nina wivu kupita kiasi.
Nimegombana nae mara nyingi sana...
Umetoka nyumbani kwako, umevaa kitopu kifupi na kimini kiko juu ya mapaja.
Umepanda daladala, ukisimama tabu, ukikaa tabu.
Maana ukisimama basi kile kitopu kinapanda juu angani...mambo yote...
Kama umeolewa na ni mwana jf, tueleze kwa umakini kwa niniwengi wenu mnabadilika mara baada ya kuolewa na kuwachukia ndugu hasa pande za waume wenu? Na sema wakina mama nikiwa na mifano hai hasa...
Kweli mambo huenda yakabadilika, zamani karibu asilimia 90 ya ndoa zote zilizo fungwa zilikuwa ni za watu kati ya miaka 20 hadi 25 na 30 kwa waliochelewa kuoa
Now days mambo ni tofauti kabisa...
Wakuu Mambo?
Ni Jumamosi nyingine tena imewadia ambapo kama kawaida natoka na "fact" na leo ni ukweli kuhusu bao la kwanza.
Ni ruska kuliachia liwahi na huwa linautamu wake wa zaiada kutokana...
Nina kabinti kangu kapo darasa la sita mapepe kweli, naogopa wahuni wasije wakakatundika mimba nataka nikaweke vijiti vya uzazi wa mpango ili wahuni wasikakatishe masomo na kuniletea mimi balaa la...
Kuna ile dhana au niseme imani kuwa wanaume ndio pekee wenye kutaka ngono mara nyingi na ndio maana wanahitaji mwanamke zaidi ya mmoja ili kuridhika kikamilifu.
Napenda utambue kuwa dhana hiyo...
Another side to domestic violence
By ELKA ZWICK
Special To The Tampa Tribune
Published: October 11, 2010
October is Domestic Violence Awareness Month. Across the nation, the news wires are filled...
nimepata gf ambaye tunapendana sana tu. ana sifa ninazozitaka kuwa mke wangu, lakin nikitembea nae njiani najisikia inferior coz mie mfupi af yeye mrefu. niendelee nae au nitafte mfupi mwenzangu...
Mouth cancer cases soar above 6,000 a year for the first time, figures reveal, thanks to rise in oral sex
Oral cancer cases have risen above 6,000 a year
On the increase: Oral cancer...
Wadau wa MMU, habari zenyu bana.
Juzi kati nilikuwa nimekaa kwenye kiti kirefu mahali fulani katikati ya jiji, pembeni yangu kulikuwa na meza wamekaa mashostito wawili wanapiga stori huku...
Tabia hii inistaajabishwa kwa wanawake, wanataka kudanganywa na kuingizwa mjini.
Mwanaume akikupenda wala hana nia ya kukutongoza wala kutaka mchezo mchafu
mbio kumfukiria mambo mabaya. Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.