Nimefumania alfajiri na mapema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimefumania alfajiri na mapema

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nchi Kavu, Mar 19, 2012.

 1. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na kahamia hapo kama siku 3 hivi. Jioni iliyopita tuliagana vizuri baada ya kusolv tofauti zetu. Sasa hiyo alfajiri napita naona kwa mbele taxi inapaki, chumba cha huyo mwanamke kiko wazi na taa inawaka saa 11 ile. Ndipo nikashuka toka boda2 nikajibanza sehem kushuhudia. Nikaamua kwenda hadi mlangoni. Jamaa ndo alikuwa anamuaga akamuachia na vijisent. Binti akamtolea kubaz zake nje ndo akanikuta nimesimama. Anajua kujicontrol. Jamaa akatoka tukasalimiana akaenda kupanda taxi... Nimemwaga on the spot. Wito wangu kwa wanaume, mwanamke akishaanza kuwa na viswahili vingi muogope.
   
 2. S

  SI unit JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole sana! Hiyo inaitwa kipya kinyemi..
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hahahaha alikuwa anawapanga kama foleni za magari za Dar es salaam
  Bora umemtosa i see wewe hujawahi lala kwake hapo?
  Pole kwa kumpangia chumba jirani na kwako
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Well done my son!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, kweli hujitambui, kama kimetokea leo.

  Pole lakini, ndo ukubwa huo.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mmmh....pole sana aisee.....
   
 7. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndio Maisha kabla ya NDOA......
   
 8. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pole ndio ukubwa huo.. Next tym kuwa makini mwana, nunua kubazi nzuri zaidi yake na nenda na Aboud bus kabisa kwake taksi kitu gani bana...
   
 9. Megaman

  Megaman Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole, lakini afadhali hivi unavyojua alipokuweka kuliko huyo mwenzako ambaye pengine hana ufahamu.
   
 10. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Dah! Women noma. Naanza kujisikia vibaya, nikijua kabisa kuwa nilikuwa nampenda na hakuna kitakachonifanya wala kunishawishi kurudiana nae
   
 11. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole mwaya
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  pole sana Wallet....


  halafu, hivi kuna wanaume wanajiamini eeeh, anaenda kulala kwa demu wake? loh
   
 13. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hilo ni mojawapo kati ya mambo ambayo uliambiwa kua uyaone kwa hiyo ndio ukubwa huo
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole sana, shukuru mungu vile kakuonyesha mapema kabla hamjakuwa mke na mume!


  Itakuuma sana ila huna budi kukubaliana na matokeo ili maisha yasonge! Hiyo hali itapita manake ni ya muda tu!.. Usikae kuusononesha moyo wako kwaajili ya mtu mzima mwenzio!
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hii ilitokea kwa jamaa yangu mmoja....yeye alilala kwa demu wa mjeda....ghafla bin vuu mjeda akatoroka kambini..... ......kilichotokea....inahitajika thread binafsi....
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Alikuwa mkeo au mpenzi wako? Umemfumaniaje sasa maana inaonekana you don't have any permanent bond!
   
 17. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Pole sana,wanawake wengine hawaridhiki.KUBAZ maana yake nini?
   
 18. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  pole sn, ni kweli inauma naungana na wenzangu kukwambia ndo ukubwa.
   
 19. s

  shabani mitambo Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha unafiki ndugu yangu
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaa umefanya nicheke.....napata picha timbwili lake lilikuwaje...

  Ila inahitajika moyo wa chuma i see, heri umwambie mwanamke alale kwako, ikishindikana heri kutafuta hoteli....


   
Loading...