Ukweli kuhusu kutongozwa

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Mnivumilie kwa kufanya hii topic ijirudierudie, ila ingekuwa heri mkaielewa hivi....
1) Mwanamke kutongozwa ni njia mojawapo ya kuonesha Glories of being a woman ambazo ni beauty, feminine intelligence, social perfectness and feminine charms - every woman needs this even for once in a lifetime

2)Mwanamke kutongozwa ni warning kwake; inampa insight ya kwamba jamii inamwonaje? watu wamechangia kwamba sisi wanaume huwa tunajilinganisha, tunapima kina cha maji, kisha ndio tunajitosa!
Sasa mwanamke anatakiwa kuwaangalia vizuri wanaume wanaomtongoza, mazingira anayotongozewa, maneno husika yanayotumika, nguo alizovaa wakati anatongozwa(akivaa nguo gani ndo idadi ya matongozo inaongezeka) na lastly mara ngapi/wiki anatongozwa kwa wastani.....

I am just creating a common ground for these topics;
a)Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?
b)Ukitongozwa ujue umependwa au umedharauliwa
 
Dah, sijui nielewe au lah!

HAya mapoint ungeyaweka kule kule tu.

Asante, tumesikia!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom