Mwanaume nimpendezeshe mimi, mwingine aje anipore, thubutuuuuuuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume nimpendezeshe mimi, mwingine aje anipore, thubutuuuuuuu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Mar 19, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Maneno haya yalitamkwa na wadada wawili walokuwa wakienda 'General Hospital' toka nkuhungu kumpa pole shostito mwenzao aliyepata shinikizo la damu baada ya kuporwa mpenzi wake na mwanamke mwingine.

  "Kwanza wala hakuwa na haja ya kupandisha presha. Ningekuwa mimi nisingekubali hapo akose yeye, au mimi. Ningemuondoa tu huyo mwanaume duniani tuone nani angefaidika. Yaani mimi nihangaike naye. tusote wote, tunakuja kupata maendeleo, mwanaume amependeza halafu yeye aje na m***du wake eti mpenzi wake, anajua nilivyohangaika naye huyo mwanaume hadi amependeza?"-Mwanamke wa kwanza alimaliza kusema.

  Yule wa pili akadakia "Dawa hapo dawa ni kuwaondoa wote mapenzi yao wakafanyie mbinguni, sio hapa duniani". Akaenda mbele zaidi kwa kuhitmisha "mwanaume nimpendezeshe mimi halafu mwingine aje anipore, thubutuuuuuuuuu!-akamalizia mwanamke wa Pili.

  Waliposhuka kituo cha hosptitali, jasho kwa mbali likawa linanitoka nadhani sababu tu ya kuwaza 'risks' ambazo wanaume huwa tunazikaribisha ktk maisha yetu ya mepenzi, mweeeeee! uanaume kazi!

  My take: Jamani wanaume wenzangu, jifikirie mara mbili unapoamua kumsaliti mpenzio. Vifo vingine vya wanaume wenye 'nazo' huenda vinachngiwa na hii maneno jamani!

   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  duh . . . . . .
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Haya mambo magumu jamani... Dah! It's complicated.... Kama kuishi pamoja na kujenga maisha ndio basis pekee yakutumia kupima vigezo vya uvumilivu ukiporwaa... then kuna tatizo kubwa na kuporwaa ni Inevitable... Atleast that is my IMO.
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Huyo atakuwa mwanaume MARIOOO..........
   
 5. Ladyheart

  Ladyheart Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh,kweli shughuli pevu.
   
 6. p

  pointers JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwambie apunguze jazba jamani....ndo maisha hayo
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  kuna wakati mtu anaona maisha yake hayana ukamilifu na furaha bila ya kuwa na huyo mwenza wake. Inapokuja kuporwa hapo ndu wengine wasiokuwa na kaba huwa wanaona kama na wao mwisho wao kuishi duniani au mwanzo wa maisha yasiyo na raha umefika. Ktk kupigania hiyo anayodhani ndiyo 'chanzo' pekee cha furaha yake maishani. hapo ndipo waswahili husema, vitani hata fimbo unaweza ukaitumia kupambana na adui yake mwenye SMG!
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  wala simjui madam, tulikutana tu ndani ya gari kama abiria
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,993
  Trophy Points: 280
  Mpenzi anaporwa kivipi?
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160

  Ndyoko haya maelezo ndio yanayo tupelekea kwenye matukia kama Story hio ya Mtambuzi ya Asha.... Sad kwa kweli....
   
 11. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  samehe 7 x 70.
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Ni kweli madam. Na wengi hufikia kufanya maamuzi ambayo baadae mtu ukiwaza inakuwa ngumu sana kujua ni nini hasa kilimjia mtu kichwani hadi anafikia uamuzi kama huu.
   
 13. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unapelekwa katika mahakama ya kienyeji.....!
  Hukumu yake sasa haina kukata rufaa.......!
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,954
  Likes Received: 5,102
  Trophy Points: 280
  na wanawake wengine nao.....kisa cha kumlea mtu mzima na madevu yake ni nini?

  Raha ya mwanamke ulelewe,
  mwanamke utunzwe....

  Sio unalea janaume lishashindwa na maisha ataishia kulimbuka na mwaka tu...... Na wewe utaishia kupata presha....
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Hahahaaa! Na mswahili ukishamwambia hivyo ataogopa hapo, maana hizi mahakama huwa hazina na hazitaki ushahidi kabisa
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,188
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Mgawane tu mlichochuma pamoja kama hataki unamfyekelea mbali
   
 17. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Hujaelewa mada ndugu. Issue sio kumlea au la, suala ni jinsi mlivyoishi pamoja na mwenza wako mkapanga mambo maisha yakawa poa, then ghafla mtu anaingilia na kuharibu mambo. Umeifikiria thread hii kwa level ya chini sana. Wanaoibiwa wapenzi ni pamoja na walio kwenye ndoa ndugu!
   
 18. M

  Mashoo2 Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya yoye yanatokea kwa sababu pia sisi wanawake hatupendani hata kidogo.tungekuwa tunapendana tungesaidiana sana katika hili.Mtu anajua wewe unatoka na fulani na yeye anamtongoza mpaka ampate na huyo ni rafiki yako.Je kuna upendo hapo?
  Thin line between love and ......
   
 19. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,747
  Likes Received: 1,082
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndiop maana huku Dar zile Dhakari Bandia zinauzwa kama njugu, nimeona leo humu JF, nadhani sababu kubw ani hii ya kutendwa. Duh! Wanaume sasa tujikague na kuabadili tabia, la sivyo wataolewa na hayo maroboti, na itakula kwetu.....LOL
   
 20. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,072
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 0
  DANGER!.....heavy load.
   
Loading...