Naomba ushauri

Sir.Chemi

Member
Mar 18, 2012
51
1
HI JF! kuna bint Mmoja 2likutana kwa mara ya kwanza 2kiwa mm 6yrs na yy 5yrs.Nimezaliwa 11/8 na yy 12/8 mwaka mmoja badae.wen 2lipokuwa kids ckuwah kupata hisia za lov ju yk.2lisoma p"mary na olevel shule moja. nilipofika 4m3 hisia juu yk zikarise lkn ckumwambia mpaka 2lipofika 4m six ndo nikamseduce kw kumremind enz z utoto.Akaniambia ana mpenz ila nimpe mda afikilie.baada ya ck 3 akanipa jb la kukubali ila akaniomba nimpe mdamiez 3 ndo anipe jb kamili kesho yk nikamuuliza kuhus yl mpenz akasema "km vp 2potezee" kumuuliza sababu akanijib kw sms 'Cna mda mref tangu 2meachana na bd niko in lov with hm ndo maana nilikwambia ninae' bac nikawa confused.Uson huwa ana sign nyeuc ambayo inafanana na niliyonayo ktk mguu wang bac tang utotoni nikiiona 2 nankumbuka yy.Ukiangalia 2nafanana size,urefu na ht uwezo w kiakili class.Mpaka leo mwez 4 2ko best friends.SS NAOMBA USHAURI NIENDELEE HV LABDA ATACHANGE UAMZI,NI2PE KETE TENA AU NIFANYEJE?.NIMEJARIBU KUACHANA NAE ILA NIMESHINDWA.
 
Hivi ndo uandishi gani huu unaletea ma great thinker wakushauri?
2likutana
cna
2ko
2lisoma
4m3
 
Aiseeeeee!huu mcharazo sijauelewa!
 
a) Kwa mwandiko huo wewe fesbuk inakufaa, wapelekee wakushauri...
b) Wewe na huyo mtoto mdogo wa kike someni hayo mambo mtayakuta tu..
c) Hapa ni "Home of Great thinkers" hivi, unafikiri tungekuwa hivi kama tulikuwa tunaendekeza ngono badala ya masomo?
 
Nimechungulia profile yako ...

Join Date : 18th March 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received:0
Likes Given: 0

Karibu sana jukwaani, endelea kupitia mada zinazopostiwa humu jamvini zitakusaidia kukupanua kimawazo zaidi na kujua nini cha kuandika.

Back to mada yako si jambo zuri kuingilia na kujihusisha na mapenzi ungali ukiwa kwenye masomo na pia kuvuruga mahusiano ya watu ni jambo baya. Kumbuka what goes arround comes arround. Ni vzr ukimaliza mambo ya masomo kujitafutia wako badala ya kupora vya wengine, vitakutokea puani!
 
kasome kwanza shule mdogo wangu ukimaliza shule wewe na yeye mtakuwa mmekuwa na atakuwa na uamuzi wa uhakika. Sasa hivi bado wadogo mtadanganyana.
 
HI JF! kuna bint Mmoja 2likutana kwa mara ya kwanza 2kiwa mm 6yrs na yy 5yrs.Nimezaliwa 11/8 na yy 12/8 mwaka mmoja badae.wen 2lipokuwa kids ckuwah kupata hisia za lov ju yk.2lisoma p"mary na olevel shule moja. nilipofika 4m3 hisia juu yk zikarise lkn ckumwambia mpaka 2lipofika 4m six ndo nikamseduce kw kumremind enz z utoto.Akaniambia ana mpenz ila nimpe mda afikilie.baada ya ck 3 akanipa jb la kukubali ila akaniomba nimpe mdamiez 3 ndo anipe jb kamili kesho yk nikamuuliza kuhus yl mpenz akasema "km vp 2potezee" kumuuliza sababu akanijib kw sms 'Cna mda mref tangu 2meachana na bd niko in lov with hm ndo maana nilikwambia ninae' bac nikawa confused.Uson huwa ana sign nyeuc ambayo inafanana na niliyonayo ktk mguu wang bac tang utotoni nikiiona 2 nankumbuka yy.Ukiangalia 2nafanana size,urefu na ht uwezo w kiakili class.Mpaka leo mwez 4 2ko best friends.SS NAOMBA USHAURI NIENDELEE HV LABDA ATACHANGE UAMZI,NI2PE KETE TENA AU NIFANYEJE?.NIMEJARIBU KUACHANA NAE ILA NIMESHINDWA.

I really hate this kind of writting, inaonyesha wazi kuwa bado kinda sana. Huu uandishi ni wa kitoto, hata ukiwa na shida wadau wanashindwa kukusaidia immediately just because of your writting style. Halafu kuna wale wanaoandika herufi X pale inapotakiwa kutumika S kama xaxa (sasa), xana (sana) jamani huwa nachefuka natamani kumeza laptop!!
 
Halafu laptop yenyewe ukute kama hii yangu ya kazini uje kubi fayad laik dhati, yani hiki kizazi kina kazi!
BTW ongeza na xul
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom