Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajf nimekuwa sijihusishi na mapenzi kwa muda wa miaka saba sasa,si kwa kupenda ila kutokana na machungu niliyo yapata.kwanza mpenzi wangu wa kwanza niliahidiana kufika naye mbali kimahusiano...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Juzi na jana, kupitia taarifa ya hbr ya ITV nilisikia hbr ya dada mmoja aliyefiwa na mumewe ambaye likuwa anadai mirathi yake kwenye kampuni la waarabu na huyo boss wake akamtumia meseji nyingi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
IPO SABABU CHAHCE ZA MUHIMU AMBAZO NIMEZIORODHESHA HAPA TABASAMU: IMEGUNDULIKA!!! KWANINI WANAWAKE WANATOKA NJE YA NDOA? LAKINI NINA IMANI NA WEWE UNAZO ZA KWAKO.TUCHANGIE HAPA ILI KUNUSURU NDOA...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF. Niliwahi kumuuliza mama yangu swali kwamba "ume weza vipi kudumu katika mahusiano kwa mda mrefu hivi wakati ndoa zingine siku hizi naona zina vunjika baada ya mda mfupi tu"...
7 Reactions
23 Replies
7K Views
Nimeiokota hii kitu sehemu, nami nikaona si vibaya ku-share nanyi...! Ewe Muumba nakuomba muharibie maisha mwanamme yoyote anaefikiria kuniibia mke wangu... Na kila anapotaka kutongoza basi sauti...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
hellow people.....hivi unapenda parenting style gani kwa mtoto wako...?
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Naomba kuuliza mnisaidie kumshauri rafiki yangu ambaye ni ofcmate wangu. Yeye ana mume na wana mtoto mdogo kwa sasa wa miaka miwili ( huyu ni mtoto wao wa tatu). Toka alipoconceive huyu mtoto wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SOURCE CLOUDS FMmama aliyekuwa akimfanyia mtoto wake wa kike wa miaka saba vitendo vya kisagaji na udhalilishaji mkubwa wa kijinsia. Wengi wamelia na kujiuliza why?? Kwanza kabisa huyu mama...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi si mwenyeji sana kwenye jukwaa hili, ila leo naomba nipate maoni kutoka kwenu juu ya jambo hili. Mtu unapokuwa umepata mpenzi mpya baada ya kuachana...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
70 year old man asks his wife "Do you feel sad when you see me running after young girls?" Wife replied, "No not at all, even dogs chase cars they can't drive.
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Hv ktk relationship kuna ubaya gani ukimwita mpenzio, dear, mpenzi, honey sweetheart, kuna wengine hawapendi kabisa, cjajua nn tatizo.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tafiti zilizofanywa na wataalama wa masuala ya afya na jamii zinadai kuwa baadhi ya wanawake waliomo katika ndoa hukumbana na kadhia ya kubakwa na wanaume zao na pia hudhalilishwa. Mkurugenzi wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
It's the age old debate; do women dress mainly for themselves, for men or for other women? Many people especially men take it for granted that women dress to impress the male species. But the...
5 Reactions
55 Replies
6K Views
Habari wanajamii, Nina tatizo zito na naomba ushauri wenu. Stori ni ndefu lakini nitajaribu kuifanya ndogo na ieleweke. Miaka kama mitatu hivi iliyopita nilihamia katika mji mwengine kikazi na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
mwanamke kuvaa condom wakati wa kujaamiina au mwanaume kuvaa condom wakti wa kujamiina,mana zipo za aina mbili.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Najua nilikukosea big time,umeni cut off hata simu zangu hupokei na PM ume block kupokea,kwa kuwa tulikutana humu jamvini,tena mmu specifically, hivyo nakuomba usome signature yangu hapo chini na...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Kuna tetesi kwamba after marriage na wanandoa wakajaliwa mtoto/watoto, then mwanamke anahamishia mapenzi kwa mtoto/watoto, na kumsahau mumewe "for a while". Is it true? Kama ni kweli haya si ndio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake wa Nairoberry ni kiboko ya wanaume Simon Kiguta akiwa kwenye Hospitali ya Nyeri Feb. 11, 2012. Alikatwakatwa mapanga usoni na mkewe baada ya kurejea nyumbani usiku akiwa amelewa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ladies this is your ticket to fly to US, Our new DREAM LOVE international dating and marriage agency in Tanzania itaanza kuregister Tanzanian ladies who have interest or dreams to Marry or date a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom