For any girl who qualified to be wife material | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For any girl who qualified to be wife material

Discussion in 'Love Connect' started by kabye, Mar 13, 2012.

 1. k

  kabye JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vigezo na Mashariti:

  1. Awe christian na awe mcha mungu
  2. Awe anatoka kanda ya ziwa
  3. Awe atleast na diploma, bachelor, master yoyote bali isiwe ni polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote ya usiku. Ata kama ujapata kazi unaweza uka apply.
  4. Age range 23-27 yr old
  5. Awe tayari kuishi sehemu yoyote nami nitapokuwa na fanya kazi
  6. Awe na upendo na mcheshi na mkarimu sana.
  7. Awe aja zaa au kutoa mimba.
  Atakayekuwa interested contact: 0788903153. Tuma msg au piga usibipu plz. kama akuusu usilete utani. This is serious issue don't joke plz-plz.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 160
  Wanakuja sasa hivi.

  Ila na wewe weka sifa zako ili uuzike.
   
 3. d

  dav22 JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mbona hujatupia na wewe sifa zako pamoja na kipicha chako ili wakuone na kukutathmini kama utawavutia
   
 4. k

  kabye JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi ni managing director
   
Loading...