Ushauri

Jun 10, 2011
20
0
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, natarajia kumalieza elimu ya chuo kikuu mwaka huu mwezi wa saba. ninampenziambaye kwa kiasi fulan tunapendana, ambaye yeye kwa sasa anamika 25, kwa bahati nzuri tayari yuko kazin kwa miaka mitatu, ni mwalim wa shule ya msingi. ......tatizo langu mm ni nashindwa kuwa na maamuzuzi ya kumtamkia au kudhihilisha kuwa lazima nitamuoa au hapan ................ yeye anaumri sawa na mimi .................tayari yeye yuko kazin kwa mudaa wa miaka mitatu ...................mm bado ni nawategemea wazazi ....................tena ni mwanafunzi PENGINE NITAKUWA NIMEOA AU NIMEOLEWA
 
Olewa tu mwaya
OTIS
 
Kimsing ni kwamba lazima utambue ya kuwa, mwanaume ukamzidi msichana hata miaka mitatu lakin suala la kuwa na umri sawa lazima litareta utata kwan yeye atakuwa mkubwa kwako tena tayari anaudhoefu mkubwa kimaisha na hata mazingira ya kazin
 
kamata jiko hilo fasta tatizo liko wapi wewe adam na eva walipishana siku na sio miaka kamata goma hilo au tatizo ni kupendana kiasi nini..
 
age aint nothing more than a number,chukua jiko ilo bwana mdogo,kwan umr kitu gan?kila khere m-quirolist complex
 
kama mnapendana chukua chuma umri sio kitu, yawezekana hata kwa umbo ww ukawa unaonekana mtu mzima
 
sina maana kuwa mm ni bisexual sas kama yetu ndye atakua mtafutaji wa kuhudumia familia ww unafikir nitakuwa nan mm
 
Usiseme hivyo,kuna wasichana hata mume wake awe hana pesa,ataishi nae tu.Mapenzi siyo pesa,mapenzi ni moyo wako.Usijishushe kiasi hicho.
 
Wakati mkianza uhusiano hukujua kama mmelingana umri?
Siku zote ulikua hujui kama anafanya kazi ndo umejua leo?
Kweli unastahili kuolewa.
 
Huwezi kuoa wakati hujui namna ya kumtunza mkeo na familia inayokuja baadaye.. Anza kazi..kaa naye kama rafiki tu hadi utakapopata kazi.. Baada ya kupata kazi,fanya kama mwaka tena,ndiyo ufikirie kumuoa huyo mchumba wako..
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, natarajia kumalieza elimu ya chuo kikuu mwaka huu mwezi wa saba. ninampenziambaye kwa kiasi fulan tunapendana, ambaye yeye kwa sasa anamika 25, kwa bahati nzuri tayari yuko kazin kwa miaka mitatu, ni mwalim wa shule ya msingi. ......tatizo langu mm ni nashindwa kuwa na maamuzuzi ya kumtamkia au kudhihilisha kuwa lazima nitamuoa au hapan ................ yeye anaumri sawa na mimi .................tayari yeye yuko kazin kwa mudaa wa miaka mitatu ...................mm bado ni nawategemea wazazi ....................tena ni mwanafunzi PENGINE NITAKUWA NIMEOA AU NIMEOLEWA

kwa uandishi huu wewe ni darasa la kwanza t
 
Utakuwa umeoa, kwani mwanaume anaolewa? Ok, ushauri wangu ni kuwa, anza kutafuta kazi kuanzia leo, hata utakapo maliza chuo uwe na kazi yako, lkn mbona kuna wengine wanaoa na hawana kazi, na maisha yanaenda 2? Ucogope. Na kuhusu umri wala ucsumbuke, labda angekuwa kakuzidi, kama mko sawa c ndo mwazeeka pamoja, we chukua jiko hlo, utaja mwacha ujutie.
 
... ninampenziambaye kwa kiasi fulan tunapendana..

kupendana 'kwa kiasi fulani' ndiyo kupendana vipi?

......tatizo langu mm ni nashindwa kuwa na maamuzuzi ya kumtamkia au kudhihilisha kuwa lazima nitamuoa au hapan ....

mko kwenye uhusiano kwa muda gani na nini ulikuwa msingi wa uhusiano wenu... kupeana company tu, kupunguziana ny*g* or what?

.................tayari yeymm bado ni nawategemea wazazi ....................tena ni mwanafunzi

kwani kuna shinikizo kwamba lazima umuoe ndani ya timeframe fulani? unatarajia kubaki mwanafunzi asiye na kazi miaka yako yote? au umeona gap limekuwa kubwa kati ya graduate na mwalimu wa shule ya msingi, so unatafuta uchochoro wa kutokea?
 
kijana wng nakufaham vizur sana,you just stay focused on your goal n nothing can stop you frm achieving what you truely deserve....endelea naye uyo binti provided anakuheshim,anaelewa hali yako,hayo mengine majaliwa!!!
 
Kimsing ni kwamba lazima utambue ya kuwa, mwanaume ukamzidi msichana hata miaka mitatu lakin suala la kuwa na umri sawa lazima litareta utata kwan yeye atakuwa mkubwa kwako tena tayari anaudhoefu mkubwa kimaisha na hata mazingira ya kazin

mnh naona unajishauri mwenyewe.....:rolleyez:
 
Back
Top Bottom