Hot Body = Hot SEX | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hot Body = Hot SEX

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Erotica, May 27, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wabongo kwa kupeana moyo! Oh haijalishi mwili wako ukoje mradi una kidude cha kufanyia.
  Oh haina shobo mradi mwili wako msafi na maneno mengi ya kupeana moyo na kufarijiana. Inakuaje sasa
  kua hata picha ambazo zinakua za kuhamasisha tendo la ngono ni wenye vimwili vidodo dogo? Akiwa pande ujue
  basi pande lililoumbika hasa. Inakua ni mnene mapododo na mapaja lakini huku juu kama dada
  wa miaka 18 ndio anachipukia. Au kuna wale wanene kawaida hata akiwa nguoless inaleta raha kumwangalia
  hata kwa dada wenzie. Tuliobahatika kuwa na miili midogo tunapochojoa nguo na kuleta mbwembwe
  mbele ya mpenzi wetu ni sawa na wanamipisho wanavoingia kwa maringo wakati wa mduara ama taarabu
  tukijua fika hapo ni mahala petu na tuna uwezo wa kuduarisha hadi kukeshe na kidole juu.

  Kauli za jipende jinsi ulivo zinatoka kwa wale ambao tayari tumebahatika kua na miili midogo kama mimi ambayo
  ina mvuto kwetu wenyewe na wanaume pia, starehe yangu moja wapo ni kujitazama
  kwenye kioo, Ero kioo hakinichoshi! Sio rahisi kihivo wapendwa kwa alie mnene sana kujikubali,
  namwambia rafiki yangu hivo kila siku ila naona haisaidii. kumwambia ukweli nashindwa nampa tu moyo,
  usihofu wapo wanaume wanapenda bonge bonge, nikiwa namuambia hivo hata mie mwenyewe
  najuwa ni faraja tu namkabidhi. Tushauriane na tutafute suluhisho
  lingine kwa wenzetu mabonge. Tuwafariji namna gani? tuwasaidie vipi?
  msinichukie ndio ukweli wenyewe!

  Rafiki yangu bonge analia kila siku sabb mwili wake hauna mvuto. anashindwa afanye kipi ajiamini kwenye
  SEX awe na confidence ya kuchojoa na kuweka swagga badala ya kuambiwa tangulia ndani ujiandae,
  akifika huko anachojoa na kuingia ndani ya shuka alafu huyo mwanaume wake anamkuta humo. teh teh teh.


  Mwaaaaah! :rapture:
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Aiseee...ushafunguliwa?
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  ishu hapa Erotica ni bed management, kama hujui kumanage kitanda chako hata kama ungekuwa mdogo kama mdoli bado haina maana. but ukweli mwili mkubwa ni risk tu ya maugonjwa na minyama iliyojaa ambayo haivutii but when it comes to maumbile basi huwez laumu sana ila unashauri tu kuwa fanya mazoezi sana hasa ya kuogelea na aerobics to buld flexibility and to trim weight.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Ndahani kirusha roho ..........................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  sasa uwe mkubwa na minyama kuna kuvutia hapo? kuna kumanage kitanda hapo?
  utamanage vipi kama kuna limitation za styles? hivi akimkalia mwenzie si anaweza kuzimia?
  hizo kauli za kuwapa moyo mabonge wanawake kwa wanaume ndio hizo zinazowafanya waendelee kubaki walivo.
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Kadogodogo kanakamatika vizuri kwa style zote,ila bonge nalo lina raha yake bana. . . Lol!
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duuu bonge na yeye anataka sex bodi kazi ipo..:bange:
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280  Hapo kwenye red sikubalian na wewe kabisa kwani kinachomfanya mtu aringe kwa mbwembwe ni flexibility tu. wapo watu ambao ni flexible sana japo ni wanene na hawa huwa wanaraha sana bwana kwakitanda manake wanakunjika apendavyo mtu. mara nyingine wale vimbao mbao huwa hawanogi na wako rigid sana, siku hizi chumba na baraza ndo mpango mzima, huku ukiwa ni mtu wa aerobics kwa sana.
   
 9. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh. raha gani labda ueleze tuone.
   
 10. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  ukikuta mwanamke mnene flexibo ni nadra sana. kwa mwembamba hata kama hayupo flexibo
  yeye ni rahisi ku cope tokana na shughuli huwezi fananisha na mnene. huo ni ukweli uko wazi! ukikuta
  kimbao mbao hanogi basi ana gundu tu. somo lako la mwisho la wanene
  ulisema wana mimaji mie nilikuwa siyajui, sasa mimaji na sex wapi na wapi? kuna raha hapo?
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  hujanielewa nimetoa angalizo kuwa mwili mkubwa ni risk ya magonjwa ishu ya kuvutia sina jibu nalo kwan ni subjective ila kwenye management ya kitanda kuna mabonge wanaweza kwani wako very flexible. ila kwa wababa hili ni tatizo kwani wao kunenepa kunaendana na kitambia ambacho huboa sana wakati wa faragha.
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa siku kila mwili una matumizi kwa watumiaji wake.
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Wakati wa ndani nje,ndani nje huku ukipapasa boobs na kulee karibu . . . Ukipagusa soon safari kwishnei!
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Mbona mi bonge bonge halafu inakuwaje sasa?
   
 15. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Jibu swali, mwanamke mnene na mwembamba wanapokuwa nude nani anavutia?
   
 16. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  matumizi lazima yatakuwepo tu si ana K? ishu thamani yake machoni na ktk mahusiano.
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  iko hivi wanene baadhi yao huwa ni flexible sana nawajua ambao wana fanya swimming class mahal fulani na aerobics huwez kuamini mpaka mimi niliadimire. anyway unene ni rsk sana na huwa unaambatana na mimaji and thats true hasa wenye ma....o makubwa usipime. its god to be of reasonable bodysize
   
 18. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh.
   
 19. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Concept ya unene au wembamba siielewi, what I know mine z hot! 63 now and she can bend all the ways u can think of! Mi nadhani awe mwembamba au unene two things matter, 1. Is she ur taste? 2. Is she flexible? Love is an art, do you both enjoy making love?
   
 20. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0


  mie kwa wanaume ndio napenda hivo. teh teh teh. itakuwa powa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...