Nitawatofautishaje wanawake hawa ..........................

DOGOSA

Member
May 22, 2012
8
1
Siku hizi wanawake wengi wamekuwa artificial, i mean wanapendeza kwa bidhaa za kichina zinazobabilisha mwonekano wao, kuanzia vichwani (mawigi and such stuffs), vipozozi (cream,mapouda n.k) na miili yao ndo usiguse coz kuanzia matiti (chakula ya mtoto), mahipsi (bastola), makalio (wezere) yaani ni balaa tupu nasikia mpaka yale mambo yetu ya "virginity" wanadeal nayo.

In actual fact wanawake wa kiafrika yaani wabantu wana miili mikubwa na ya haja lakini nyakati hizi ni vigumu kumgundua mwanamke wa kibantu na mwanamke wa kiafrika mwenye uartificial wa kichina. Mbaya zaii hao wachina wenyewe maskini hawana hapa shobo na hayo maumbile kwa kuwa wameridhika na mungu alivyowapiga pasi.

Sasa wana jf hebu nipeni hints/principle ya kumgundue mbantu asilia na mbantu wa kuchovya kwa wenzetu kina "hu haa maaasta".
 
kaoe kijijini tena huko kwa watindiga na wabarbaig ambao hata basic civilization haijafika,
yani kama movie ya the gods must be crazy....
Kitu natural the pride of africa my continent (Me laik zis so mucho)
 
Yanini unasumbua roho yako, chukua yule roho imependa...awe artificial au non artificial :A S shade:
 
kwani wanamme wa ukweli wanatofautishwaje?

Kama hujui feki au orijino, usijitie presha kujua.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Siku hizi wanawake wengi wamekuwa artificial, i mean wanapendeza kwa bidhaa za kichina zinazobabilisha mwonekano wao, kuanzia vichwani (mawigi and such stuffs), vipozozi (cream,mapouda n.k) na miili yao ndo usiguse coz kuanzia matiti (chakula ya mtoto), mahipsi (bastola), makalio (wezere) yaani ni balaa tupu nasikia mpaka yale mambo yetu ya "virginity" wanadeal nayo.

In actual fact wanawake wa kiafrika yaani wabantu wana miili mikubwa na ya haja lakini nyakati hizi ni vigumu kumgundua mwanamke wa kibantu na mwanamke wa kiafrika mwenye uartificial wa kichina. Mbaya zaii hao wachina wenyewe maskini hawana hapa shobo na hayo maumbile kwa kuwa wameridhika na mungu alivyowapiga pasi.

Sasa wana jf hebu nipeni hints/principle ya kumgundue mbantu asilia na mbantu wa kuchovya kwa wenzetu kina "hu haa maaasta".

Poor you!!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Njoo nikufundishe kutofautisha...Ninyi wenyewe artificial wa tabia balaa. Wasanii kuliko hata Ze comed....mnabadilika kama vinyonga. Hamjui hata mnataka nini? Mkipendwa oohh ananishobokea, akikauka mtu ooh anaringa. Mkiombwa buku tu ya vocha ooh wanapiga mzinga, usipoomba ooh anajifanya anazo. Ukilipa bili ya msosi siku mbili tatu ooh hawezi hata kuchangai gharama za outing.....akitoa ooh anajifanya na yeye anaweza kulipa bill.

Mara ohh sio wife material, khaaa mtutue....kajipangeni upya. Ndio maana mnaishia huko kwenye ua-artificial. Mkome tutawawekea mpaka naniliu Fake.
 
Ndugu zangu hawa nawaambia watabaki kulalama sana........na mwisho wa siku haitowasaidia lolote!!
Tena wajipange haswaa, wengine stress zawasumbua!!
 
Sasa wana jf hebu nipeni hints/principle ya kumgundue mbantu asilia na mbantu wa kuchovya kwa wenzetu kina "hu haa maaasta".

hivi unawataka wa kuchovya ili uwachovye au kuna nini haswa?
 
Njoo nikufundishe kutofautisha...Ninyi wenyewe artificial wa tabia balaa. Wasanii kuliko hata Ze comed....mnabadilika kama vinyonga. Hamjui hata mnataka nini? Mkipendwa oohh ananishobokea, akikauka mtu ooh anaringa. Mkiombwa buku tu ya vocha ooh wanapiga mzinga, usipoomba ooh anajifanya anazo. Ukilipa bili ya msosi siku mbili tatu ooh hawezi hata kuchangai gharama za outing.....akitoa ooh anajifanya na yeye anaweza kulipa bill.

Mara ohh sio wife material, khaaa mtutue....kajipangeni upya. Ndio maana mnaishia huko kwenye ua-artificial. Mkome tutawawekea mpaka naniliu Fake.

[MENTION]LD[/MENTION] acha jazba...................ulianza vizuri kuwa utamfundisha namna ya kuwatofautisha lakni kwa sababu ya ghadhabu zako umeishia kumkosoa badala ya kumwelimisha .......................kama ulivyokusudia awali.............sasa rudi polepole na umwelimishe vizuri.........................atawatofautishaje maana huenda anataka hao waliochovya ili naye awachovye vilivyo............ngoma iwe ni dorooooooooooooooo
 
  • Thanks
Reactions: LD
Njoo nikufundishe kutofautisha...Ninyi wenyewe artificial wa tabia balaa. Wasanii kuliko hata Ze comed....mnabadilika kama vinyonga. Hamjui hata mnataka nini? Mkipendwa oohh ananishobokea, akikauka mtu ooh anaringa. Mkiombwa buku tu ya vocha ooh wanapiga mzinga, usipoomba ooh anajifanya anazo. Ukilipa bili ya msosi siku mbili tatu ooh hawezi hata kuchangai gharama za outing.....akitoa ooh anajifanya na yeye anaweza kulipa bill.Mara ohh sio wife material, khaaa mtutue....kajipangeni upya. Ndio maana mnaishia huko kwenye ua-artificial. Mkome tutawawekea mpaka naniliu Fake.
OMG u sound like a victim of wat u juc said,,pole sana na usipaniki wapo wakina sisi tusiozungumza na kuheshimu maamuzi binafsi na personal freedom.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Vigumu kuwatofautisha,hasa ukizingatia mmekutana kimjini mjini,chamsingi muombe mungu akupe mwenye kheir na weye....
 
Du.....hapa inabidi nikae, wengi wanaotumia madawa wanaharibika sana ngozi baada ya muda, lakini pia weupe wao siyo wa kuvutia kama una wekundu fulani vile, me nilimwomba asitumie kabisa cosmetic akaniona wa zamani kumbe nilishabukua....baada ya muda nywele zikaanza kukatika acha alie....kuja ooh nimekosea masharti nikamwambie nakupenda ulivyo kwa nini unajihangaishaaaa?
 
OMG u sound like a victim of wat u juc said,,pole sana na usipaniki wapo wakina sisi tusiozungumza na kuheshimu maamuzi binafsi na personal freedom.

Ha ha ha humu uchanganyage na zako yakheeeeeeeeeee......Hakuna cha victim wala nini hapo. Akili si ninayo na utashi ninao? ha ha ha ila wakaka kweli hamjuagi mnachokitaka sometimes nyie. Na ndio maana......
 
LD acha jazba...................ulianza vizuri kuwa utamfundisha namna ya kuwatofautisha lakni kwa sababu ya ghadhabu zako umeishia kumkosoa badala ya kumwelimisha .......................kama ulivyokusudia awali.............sasa rudi polepole na umwelimishe vizuri.........................atawatofautishaje maana huenda anataka hao waliochovya ili naye awachovye vilivyo............ngoma iwe ni dorooooooooooooooo

Toka zako Rutashubanyuma ninyi mnajua kutusema sisi tu. Ninyi hapana eeh......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom