Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, May 26, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  Player ni fataki na hana taswira nyingine ingawaje huificha
  Wasifu wake huvuma kwani vigezo vingi huvikamilisha bayana
  Mabinti humpapatikia na tamaa yao huwa ndiyo suluba yao
  Player ana makorokoro kibao na vijisenti havimpigi chenga kamwe
  Player hana hasira na uvumilivu bila kikomo huwa ni rungu lake
  Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

  Kwa kuelewa udhaifu wa mabinti yeye huwavuna kwa rungu lake
  Shida zao wakimlilia yeye ni kimbelembele kuzitatua bila kalenda
  Ingawaje hutuliza kero zao lakini moyo wake ni wa kwake pekee yake
  Mabinti hupoteza maboya wakidhani Player anawahusudu kumbe la!.
  Mwenyewe Player aelewa kawekeza mtaji wa nguvu na asubiria kivuno.
  Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

  Player huficha msimamo wake ndani ya kichaka cha uanamalenga
  Malenga malenga huwapumbaza nayo nao kumuwazawaza bila ukomo
  Si usiku au mchana wao hujadili upendo wa Player bila ya kujua huo ni mtego
  Player ajua fika tamaa ya mabinti ni kupendwa naye awahadaa kuwa anawapenda
  Pia hachelei kuwakumbusha-kumbusha ya jinsi anavyoweweseka nao bila bureki!
  Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!


  Mtambue Player pale uonapo hataki mikwaruzano nawe unapombishia!
  Mtambue Player pale ambapo penye udhia hukimbilia kuweka rupia!
  Mtambue Player pale ambapo hudai malipo ya uwekezaji wake bila ya aibu!
  Mtambue Player pale ambapo huhakikisha biashara yake huwa ni asubuhi tu!
  Mtambue Player pale ambapo uonapo anavuma sana na kila binti anamsaka!
  Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  asante kwa maneno yako matamu hahahahahahah
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Sio ma-player wote wenye vijisent...huwa wanatumia maneno mazuuuri kwenye ku-soundisha.
   
 4. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ruta huyo player number yake ngapi kiwanjani au hana number?
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu acha tuianze wikiendi kwa vijembe vya hapa na pale..................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  Asabaya Player ni nambari yoyote ili mradi afunge bao tu...............na mpira wake ni rungu lake to kalishikillia mwenyewe ila kuna wakati humpakatisha bintiye/muathirika wake ajipimie .....duh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  HEART ni kweli ingawaje akiwa na vijisenti mchezo huucheza kiulaini zaidi................na hata wadada hujisikia maraha kumlegezea masharti...........................lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. skendo

  skendo JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukimwona mitaa yenu,jua kunakiumbe kesha umia,akimaliza mi meno kenu,ujinga wake anafurahia,achagui watoto,wakezenu,popote ye upitia,mtaji dhiki zenu,malengo yake kutimia,sasa kazi kwenu,kum"bania ama kumwachia,chake c chenu,ila chenu chake ndio kanuni ana2mia,na c huko kwenu,pande nyingi wameshalia,Smile,First lady,Lizzy na wengine c wenzenu?bac waulizeni kazi yake wanaijua.Haaaaaa!player bana.
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Cha ajabu man akiwa player ndio kwanza mademu huzidi kuzimika naye...!!!
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  skendo.kila mahali Player anakanyaga huacha scandal tupu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  mathematics.....................ni kweli kwa sababu mahesabu yake huwa ndiyo yanawazuzua ingawaje huishia kullizwa naye!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  What I can say is that womanizers are the best husbands!

  believe it or not
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hahahaha me love this ruta! Hua wanajitahidi kua na kauli nzuri,smart 24/7,wanaenda na wakati hakuna kinachompita, kuuza sura kwa sana na kama kajaliwa uhandsome ndo mtajuta,anaoga mara tano tano, gheto lake smart all the time..mda wote ananukia lols!player bana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  chanzo cha player kupata wanawake wengi, ni kwamba huwa wana maneno machungu ila yanakuwa yamepakazwa asali kwa juu,so ukiyasikia utahc ni matamu kumbe ni hit n run!
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na walio wengi ni ulimbukeni tu hamna lolote
   
 16. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Rutashubanyuma mademu wengi huzimika na players coz wanadanaganyika kuwa players ni noma kitandani...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  Okada.....I want to believe but just tell me why and how
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  [MENTION]
  Mathematics[/MENTION] Sidhani Player hutanguliza sana kitanda ingawaje ndilo lengo lake...............yeye hutanguliza malove huku akibisha hodi na akikaribishwa haishi sebuleni hapo hurukia kitanda mithili ya swala............................lol...............akitoka kitndani hata haagi huishia moj kwa zote vile..........
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  ndetichia mbona marungu yao wakiomba wawasuuzie wadada huwakubalia......lazima wana kipaji cha kupata wayatakayo kwao.......haiwezekani wawe buree kabisa.............labda malengo yao ni bure lakini mikakati yao huzaa kivuno
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  Charminggirl acha kuzungumzia kijuujuu...............makali yao wayafahamu hususani ya kusuuziwa rungu..............lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...