Eti ananichukia sana...

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Wadau wa jamii napenda kwanza niwajulie hali habari zeinu bana...
Kuna mtu ananitesa sana anafanya nisijisikie poa coz...nilipokua mdogo yani ile miaka ya kubarehe kuna msichana hapa mtaani nilitokea kumpenda tena sana cha kwanza shep na umbo na vingine vingi vilinifanya nimpende sana huyu mtu....tabia nilikua naiju kimtindo coz nimekua nae nimesoma nae.....
Ikatokea siku nika mmwaga live kama vipi nataka ni dese nae kama vp....demu hakunijibu zaidi tuligombana sana akipita ananifyonya ananibinulia domo mpaka leo ni zaidi ya miaka kumi sasa bado ni hivyo hivyo kama nimemuudhi jana...hii kitu mimi inaniuma sana coz ni mtu ambae tunatoka mahala pamoja tunajuana kuanzia wazazi na ndugu wote sasa ni nini nimemuudhi huyu....tena anamwambia hata mchumba wangu kua bwana ake simpendi..... Nifanyaje wadau!
 
Na huyo mchumbako anaumiiiiiia kweli akiambiwa "bwanako simpendi"!!!

Mpotezee, kwani lazima upendwe/uwe rafiki na kila mtu?
 
sa huyo mchumba ako anachukuliaje hilo swala la wewe kumtaka mwanamke mwingine

gf wangu hana tatizo sema jana tumekaa sehemu tunatafuna tafuna na story za hapa na pale mtaani kwao mida ya night akapita yule sister daa hakusalimia den.....alipofika mbele my gf akaniambia hivi huyu mbona anakuchukia sana....nikampa full story ukizingatia ni mambo ya ujanani na zamani hakuonesha kumaind!
Ila akaniambia nijitaidi uadui uliopo kati yangu na yule dada uishe...
 
Hana mpya huyo wazimu tu wake anajua kama unamshobokea na kurudi tena hawezi,anakusalimia nini kama anakuchukia?
hana lake jambo roho inamkwangua akikuona na mwengine ilobaki basi tuuuuuuuuuu.
 
Na huyo mchumbako anaumiiiiiia kweli akiambiwa "bwanako simpendi"!!!

Mpotezee, kwani lazima upendwe/uwe rafiki na kila mtu?

Inaelekea jamaa alivyokataliwa alienda kutangaza "NIMESHAMGONGA" dada wa watu ikamfikia habari kwa nini asifure hadi leo BALEHE INASUMBUA KICHIZI nakumbuka mwenzenu.
 
no me sikufanya hiyo kitu...still nilikua nampenda sana na yeye kati ya wasichana wachache warembo mtaani kwetu kipindi hicho yeye yumo...
Tatizo ni toka siku hiyo niliyo mtamkia atupatani mpaka leo....sio tu nikiwa na demu wangu bali hata nikiwa peke yangu hatuna salam.......kuna kipindi nilijaribu nikapata namba yake kama baada ya miaka mitano toka tuvurugane...hakujibu na nikimsalimia hajibu.....
Na mimi kama mwanaume nikaamua kula bati moya kwa moya mpaka leo hii.
 
Wadau wa jamii napenda kwanza niwajulie hali habari zeinu bana...
Kuna mtu ananitesa sana anafanya nisijisikie poa coz...nilipokua mdogo yani ile miaka ya kubarehe kuna msichana hapa mtaani nilitokea kumpenda tena sana cha kwanza shep na umbo na vingine vingi vilinifanya nimpende sana huyu mtu....tabia nilikua naiju kimtindo coz nimekua nae nimesoma nae.....
Ikatokea siku nika mmwaga live kama vipi nataka ni dese nae kama vp....demu hakunijibu zaidi tuligombana sana akipita ananifyonya ananibinulia domo mpaka leo ni zaidi ya miaka kumi sasa bado ni hivyo hivyo kama nimemuudhi jana...hii kitu mimi inaniuma sana coz ni mtu ambae tunatoka mahala pamoja tunajuana kuanzia wazazi na ndugu wote sasa ni nini nimemuudhi huyu....tena anamwambia hata mchumba wangu kua bwana ake simpendi..... Nifanyaje wadau!

anakutaka huyo,angalia usije ukawa swala.
 
Hizo ni changamoto za maisha, ni vyema mkayazungumza kama nia na utayari wa kuyamaliza upo. fanya kazi zako kaka. WOMEN ARE TOO COMPLICATED SO MAKE YOUR SELF COMPLEX AS A GENTLEMAN.
 
Nilimwambia gf wangu!usije ukapinduliwa ila kiutani zaidi.......alicheka tuu hapa nilipo ni dukani mudaa huu nanunua vocha lakini amekuja nimemsalimia kakausha........kageuza kaondoka still mimi now dayz sikai huko mtaani mala chache kuonana....
 
Wadau wa jamii napenda kwanza niwajulie hali habari zeinu bana...
Kuna mtu ananitesa sana anafanya nisijisikie poa coz...nilipokua mdogo yani ile miaka ya kubarehe kuna msichana hapa mtaani nilitokea kumpenda tena sana cha kwanza shep na umbo na vingine vingi vilinifanya nimpende sana huyu mtu....tabia nilikua naiju kimtindo coz nimekua nae nimesoma nae.....
Ikatokea siku nika mmwaga live kama vipi nataka ni dese nae kama vp....demu hakunijibu zaidi tuligombana sana akipita ananifyonya ananibinulia domo mpaka leo ni zaidi ya miaka kumi sasa bado ni hivyo hivyo kama nimemuudhi jana...hii kitu mimi inaniuma sana coz ni mtu ambae tunatoka mahala pamoja tunajuana kuanzia wazazi na ndugu wote sasa ni nini nimemuudhi huyu....tena anamwambia hata mchumba wangu kua bwana ake simpendi..... Nifanyaje wadau!
atakuwa na mimba isiyojifungulika, ndo tabia zao!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom