nna mpenzi lakini nampenda msichana mwingine. nifanyaje???

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
May 29, 2011
2,405
1,181
hivi jamani duniani ni wawili wawili kweli? mbona sielewi/nna mpenzi ananipenda sana ila mm nimetokea kumpenda msichana mwingine mpka nashangaa sijui nifanye nn.msaada plz:A S embarassed::A S embarassed:
 
Ukimimpenda naye hakupendi, anakuchuna kisha anampenda naye mtu mwingine ambaye naye hampendi hivyo mwingine nae atampenda mtu mwingine ambaye naye atamgonga/kugongwa mwisho wa siku kitu paaaaah mwafa!!!!!
 
Hujajua tu, kuna mmoja unamtamani na mwingine unampenda sasa gonga unayemtamani alafu chukua jumla unayempenda.
 
Back
Top Bottom