Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 183
Naombeni ushauri wenu wanajamvi, ni hivi kwenye familia yetu ya upande wa mama tumezaliwa watano
wanawake watatu na wanaume wawili , hao wanne wa mwanzo yaani wavulana wawili na hao
wasichana wawili ndio watoto wa mwanzo miniwamwisho kwa mama, na baba yangu ni mwingine
mama alivyoolewa aliwazaa hao watoto wanne wakajawakatengana baadae saana ndio akaja kunizaa mimi
mama alitulea kwa upendo wa hali ya juu wala hakutuonyesha tofauti zetu alituthamini wote lakini cha ajabu nachakushangaza ni
hawa ndugu zangu hawanipendi nami ni mdogo sana kwao nanilianza kugund
ua hii toka nikiwa mdogo sana kama 6yrs hivi kwa dada mmoja kati ya hawa wawili alikua anichukia live
ila mimi sikua natambua ile ni chuki lakini watu wazima wa karibu walikua wanaona na kuelewa ni mambo mengi
yalifanyika yakuninyanyapaa kwavile nilikua mdogo nilijua naonywa labda na mama alikua anaingilia sana akiona
naonewa na wote nalikuwa wanambeza mama kuwa anitetee tuu, haya maisha yaliendelea hatimaye tumekuwa watu wazima na mambo ya zamani nilishayasahau nawathamini wote kama ndugu zangu nawapenda watoto wao kama watoto wangu hata wao wamejua, kumbe najidanganya kwa sababu nimepata mtihani kidogo tuu kwenye maisha nimeshangaa
wameungana nakunitenga sio wakiume sio wakike wanafurahia hadi mama ametoa laana kwa mmoja
maana amesikitishwa sana kwa vitendo vyao ukizingatia mimi ni mdogo sana kwao maana wamenipita zaidi ya miaka kumig
nimeiona hii hali nikakumbuka zamani nilikua naambia na watu ndugu zangu wanaroho mbaya sikua
naelewa pengine walikua wanaona mambo wanayonitendea au kuniongelea au kuniombea
nimeamini kuzaliwa tumbo moja haina maana mtapendana kama ndugu, wao jambo likiwapata wanaungana mara moja
nakubebana wakiwa na shida nawasaidia kama ndugu zangu kumbe nilikua najidanganya nina ndugu
sasahivi nimejigundua scina ndugu niko peke yangu ni mamayangu na babayangu tuu ndio wanaoweza kunithamini,
nimeamua nijitenge nakujihesabu sina ndugu heri niwakane kabisaa uhusiano wetu niuuwe.
Ndugu zangu wa e
wana jf mnanishatije?
Maana hawa watu wakipata bomu lakuniua wanaweza
nilipua nife bureee.
0
b