Kwanin icngekua hivi jmn..

Qt B

Member
Jan 26, 2012
78
4
Hiv MUNGU acngeweka sheria kwamba Mwanaume/mwanamke utakayekutana nae na kupendana ndo awe huyo huyo mume/mke aliyekupangia ili kuondoa huu uongo uongo uliotawala sahv,mtu anapenda waschana zaid ya 3,wote anawaahid kuwaoa mwisho wa cku hachkuliw hata mmoja kati yao...eeh MUNGU 2saidie kwakweli suala la mapenz lilipofkia sahv 2nahtaja karama yako 2fanikiwe...
 
ndio ilivyo kama utakutana na mwanamke au mwanaume mkapendana mtaoana tofauti na hapo ujue hamkupendana (either hukumpenda au hakukupenda). always wanaopendana hawahachani ndugu yangu ukiona watu wanaachana ujue hawakuwa na mapenzi ya dhati (either mmoja wao hakuwa na mapenzi ya dhati).
 
Ni kipimo moja wapo ya akili na utashi alotupa Mungu, inatakiwa tumwonyeshe tofauti na wanyama ambao hakuwapa utashi
 
pole mwaya, kadri cku zinavokwenda tunashuhudia wahanga wa mapenzi kha... me nimeshachoka kabisa na masuala ya mapenzi.. cos hakuna/ni wachache mno wanaokuja hapa jukwaan kujipongeza wengi wao huja kulalamika na kuomba ushauri ."AMA KWELI UPENDO WA WENGI UTAPOA"
 
ndio ilivyo kama utakutana na mwanamke au mwanaume mkapendana mtaoana tofauti na hapo ujue hamkupendana (either hukumpenda au hakukupenda). always wanaopendana hawahachani ndugu yangu ukiona watu wanaachana ujue hawakuwa na mapenzi ya dhati (either mmoja wao hakuwa na mapenzi ya dhati).


lakini kikubwa ni kuwa wa kweli katika hili mbona wengi tu wanacheka katika katika mapenzi nadhani it reach time sasa
ukitamani sema tu cause mostly ladies are affected on this wanaingia kwa miguu yote. na huwa hawatack time kuthink twice wadada sisi wanaume ni problem kama huwa hwawaambii ndo nimesema sasa
POLE mdada God is always on your side kama kweli ulikuwa mtumwa katika gereza hilo hope hukuplay wrong that cause a serch disaster....///:lock1::lock1:
 
. mtu anapenda waschana zaid ya 3,wote anawaahid kuwaoa mwisho wa cku hachkuliw hata mmoja kati yao...

jiandaeni kuishi single tu sasa hakuna waoaji wala nini, wamebaki wamegaji tu
 
Me sielew kabisa hizi mambo znavokwenda...anywayz 2tafika 2 lakin..
 
Pole sana.
Tatizo kubwa ni kuwa vijana wote wa kike na wa kiume tunakuwa tumeshajiweka ktk mazingira ya kutostahili kuwa na mwenza mwaminifu! Mtu 'ameasi' jamii, wazazi wake, ndugu zake, desturi/mila za kwao, imani/dini yake, lakini bado anatarajia huyo mpenzi wake awe mwaminifu kwake! No way... tunajidai wajanja kiasi cha kudharau misingi ya kuwepo kwetu, matokeo yake mbele giza... Tafakari, chukua hatua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom