Ushauri: Nina wasiwasi mwenzenu!

mamajack

JF-Expert Member
May 21, 2012
1,156
296
Habari ya asubuhi wanajamvi, namshukuru Mungu nimeamka salama.

Jana baada ya shughuli za siku nzima nilirudi nyumbani kwangu, na muda wa kulala ulipofika nikavaa nguo zangu za kulalia nikalala salama. KINACHONIPA WASIWASI, leo nimeshituka mida ya saa 04:45 alfajiri nikaajikuta sina nguo hata moja yaani nipo utupu, nguo ziko pembeni yangu na nimelala chali.yaani nimeshtuka sana, cha kwanza nikajikagua kila sehemu ya mwili wangu nikakuto ni salama pote.

Chumbani kwangu nalala mwenyewe na huwa ninafunga kabisa ,na jana nilifanya hivyo hivyo nilifunga mlango wangu kama kawaida, kweli hali hii imenitia wasiwasi.

Naombeni ushauri wenu wadau.
 
samahani nimesahau kukuambia, nlitaka ukiamka ndo nikwambie.....kumbuka vizuri jana ilikuwaje??? umesahau??? ngoja ni ku pm
 
samahani nimesahau kukuambia, nlitaka ukiamka ndo nikwambie.....kumbuka vizuri jana ilikuwaje??? umesahau??? ngoja ni ku pm
Acha bana utani,mie kweli hii kitu inanichanganya,naomba ushauri bana sio utani serious.
 
Acha bana utani,mie kweli hii kitu inanichanganya,naomba ushauri bana sio utani serious.

Umechanganya jukwaa wewe, hapa sio mahala pake, peleka MMU, huko kuna maspecialist wakushauri. Pole sana. I guess nyie ndio wale wale NYINYIEM.
 
kumbuka vizuri aisee, inawezekana hicho kitu hakijatokea ila unafrustration zingine tu, hemu angalia hii post ulipoiweka kwanza inaweza kukusaidia kujua tatizo lako.
 
Umechanganya jukwaa wewe, hapa sio mahala pake, peleka MMU, huko kuna maspecialist wakushauri. Pole sana. I guess nyie ndio wale wale NYINYIEM.
sasa nyiniemu with my tatizo inahusiana nini tena,
 
kumbuka vizuri aisee, inawezekana hicho kitu hakijatokea ila unafrustration zingine tu, hemu angalia hii post ulipoiweka kwanza inaweza kukusaidia kujua tatizo lako.
kweli imetokea,and inanichanganya sana sangarara.sijui ni nini hata kimetokea.
 
Umechanganya jukwaa wewe, hapa sio mahala pake, peleka MMU, huko kuna maspecialist wakushauri. Pole sana. I guess nyie ndio wale wale NYINYIEM.

Nzenzu nadhani we ndo umejichanganya, hapa ndo MMU.
 
Kama muislam muite shehe akusomee dua, kama mkristo muite mchungaji akuombee, kwa ushauri zaidi wa kisaikolojia ni pm. Vp ulikunywa pombe?
 
Kama muislam muite shehe akusomee dua, kama mkristo muite mchungaji akuombee, kwa ushauri zaidi wa kisaikolojia ni pm. Vp ulikunywa pombe?
asante kwa ushauri wako,hapana sikunywa pombe na huwa situmii pombe kabusa.ntakuPM SOON.
 
ixeee Pole mama Jack. Muite roho mtakatifu akufunulie hili. Au ulisahau ukavua ukiwa na usingizi mama Jack mwenzangu.
 
Logically : Inawezekana we mwenyewe ndo ulizivua ukiwa subconscious usiku. Labda ulikuwa ujiskia joto sana na usingizi ukawa mzito hivyo katika zoezi zima na kujisaula ukashindwa kuweka kumbukumbu vizuri...imeshanitokea so that is my explanation logically.
Spiritually: Kama kuna spiritual forces involved basi mamajack njoo ufanyiwe maombi
 
logically : Inawezekana we mwenyewe ndo ulizivua ukiwa subconscious usiku. Labda ulikuwa ujiskia joto sana na usingizi ukawa mzito hivyo katika zoezi zima na kujisaula ukashindwa kuweka kumbukumbu vizuri...imeshanitokea so that is my explanation logically.
spiritually: Kama kuna spiritual forces involved basi mamajack njoo ufanyiwe maombi
asante petcash,ntakuja kwa maombi maana ninauhakika sijavua mwenyewe.
 
ixeee pole mama jack. Muite roho mtakatifu akufunulie hili. Au ulisahau ukavua ukiwa na usingizi mama jack mwenzangu.
asante ladyg.nisaidie pia kuniombea,kweli sijavua mwenyewe,maana huwa siwezi kulala bula nguo hata kama kuna joto kiasi gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom