Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka kujua kama nitapata mwanamke au nipige jalamba kwanza na ushamba wangu huu. . . . . . . . . . . . !!Ni changamoto gani anakabiliana nazo mwanaume kama huyu?Hebu kuweni wazi bana. . . . . . . . . .
 
ah kawaida mwana muelewa atakuelewa tuu ila ujuwe ya wazi kuwa mwanzoni lazima watashuku hiyo statement yako ya kuwa virgin.....alafu y hujala bupa mpaka sasa?
 
Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..
 
Mhhhh hapo inategemea,Jamaa ni mtu wa mungu so ni sawa tu me naona ila mwanzoni kazi itakuwepo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..
AMINA: :A S kiss:
 
Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka kujua kama nitapata mwanamke au nipige jalamba kwanza na ushamba wangu huu. . . . . . . . . . . . !!
Eiyer nimependa sana swali lako ma lito bro. to me it doesn't make any difference as you have learn a lot from literatures. Ishu iko kwenye endurance tu something which you can make it perfect as you keep on practicing. Kwangu mimi ingesound safi zaid kama bikra +bikra au bikra ke+ experienced but nafikir pia haina effect kama ukimpata experienced ke ili kuweza kufunzana maana ya ishu yenyewe.

ukweli ni kwamba kwa mwanaume kudo for the first time hata misuli tu ya miguu itakubana na waweza kukuta baada ya game moja wewe mgonjwa hoi so yawezekana kabisa kazi lengwa isifanikiwe kama ilivyotarajiwa.

Ushauri kama bado usfanye mchezo wa matusi hadi upate wa kwako wandani mengine ni situational zaid.
 
Last edited by a moderator:
Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..

Amyner mbona unashangaa?Hujawahi kukutana na mwanaume virgin?
 
Papizo na blackberry yako sijakusoma kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom