Natafuta mchumba wa kike(mke mtrajiwa)

MTUNZA AMANI

Senior Member
Jun 2, 2012
187
21
Habar wana jf,mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27, ni mkristo,na ninasoma chuo kikuu cha UDSM,mwaka wq mwisho,hivo ninatafuta msichana mwenye umri kuanzia miaka 20-26, awe mkristo,mtii,na mwaminifu,naahidi nitampenda,nitamtunza na kumjali kwa moyo wangu wote,haijalishi kiwango cha elimu,kazi wala kabila,ila asiwe mwembamba sana wala mnene sana awe ni wa kati kwani mimi ni wa kati,na ni handsome boy. Kama upo tayari tuwasiliame kwa email : smasilu@yahoo.com
 
mimi nina sifa zote tatizo my ex jana kaniomba msamaha ndo nataka nirudiane nae from today ..ungeniwai kidogo tu ...all the best lakini
 
Ucjal smile,kwani unapaswa kuwa na umpendae kwa dhati,kama unampenda all the best.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom