Kukuweka mkono kwenye nyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukuweka mkono kwenye nyeti

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Jul 10, 2011.

 1. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mganga alimwambia akishika nyeti zake utamkubalia hahahaa huo wote ni woga tuuuuu
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  ebo..embu ieleze vizuri ..this is new to me..inaweza ikawa applicable.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  hili neno mbona leo limekukaa hivi? still 4 hrs mnyama ale lapa
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe unakaa wapi?,
  Duh hii kitu sijawahi kuona mtu anafanya, labda ni etiquette za ajabu huko kwenu unapoishi.
  In short sio ustaarabu kabisa
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  hii kali...sijawahi sikia...
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmm,hiyo kali huyo bwana anaefanya hivyo ni mshenzi watabia beu fikiri kesha fanya hivyo mara ngapi kabla hajakufikia,na wala hajaosha mikono yake.hiyo inaelekea ni style yao peke yao hao washagoo.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Mkitongozwa na watu wa uwanja wa fisi
  ndo matokeo yake hayo lol
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huh! hapana .......SMH
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Me too!!

  Hivi wababa (means wameoa) kama wana adabu na wanaheshimu ndoa zao na jamii watafanya biashara ya kutongoza tongoza njiani kama teens? Halafu mambo yakianza kuharibika atakimbilia kuweka mkono mfukoni?

  Mtu wa namna hiyo hasitahili kupewa hata shikamoo....achia mbali kumpa hata sekunde moja ya kumsikiliza!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Isije kuwa huyu dada katongozwa na vichaa lol
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hiii mpya..

  Dahhh
  nilivyoona kichwa cha thread
  Nilidhani ni ile unamuona mwanaume
  Barabarani atatembea kiupande upande
  Halafu anavuta dudu lake chini hivi.. halafu
  Ndo sasa ataanza kutembea vema..
  Kuna mwingine alivuta dudu kanisani..
  Nini tu jamani.. kuvuta vuta ..??

  Haiumii?? Maana ya onekana mnatumia energy dahhhhhh poleni
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahaaa St ivuga usije kana maandiko yako baada ya dk tisini kwisha
   
 14. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ninyi si huwa mnalalamikia size? sasa jamaa anataka upime mwenye kabsaa!!
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Siku nyingine akikufanyia hivyo mbinye map¤¤¤¤, halafu utuletee feedback...
   
 16. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unaweza kuta huyo wa barabarani ndiye huyo huyo wa online................
  Ila huyo mwanaume ms.....zi wa tabia..............mkubwa mzima hata haya hana...............?
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  HApo bibie umenichosgha kabisaaaa. hivi kanisani tunakaa tukiwa tunamwangalia mchungaji au tunaangaliana? ushanunua kesi ..macho yako unayawekaga wapi ukiwa kanisani?
   
 18. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hii ni mpya kwangu, utafiti wako umejuisha watu wangapi?
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Huyo hajiamini. Kwani kama anatongoza si inajulikana kuwa hiyo kitu ipo. Sasa kupeleka mkono huko ana maana gani. Ushamba tuu huo
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmhhhh bwana mbona tulikubalianaMie na we ugomvi ni chumbani tu twanganeHuko mtu asisikie.. make up #*!.... tukitoka Hapo bafuni then jikoni..Nway si utani kuna mtu alikuwaanaenda kutoa sadaka.. kaanza kuji vuta vuta Kabla hajatembea mbele. ... ni matatizo Au ni kawaida.
   
Loading...