Mwanamke jiamini!acha ushirikina. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke jiamini!acha ushirikina.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DERICK2000, Jun 24, 2012.

 1. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni Gf wa kaka yangu,juzi juzi kaka yangu kamkuta na hirizi kiunoni mwake..kumuuliza kwa nini anafanya yote yale,jibu alilompa ni kwamba anajiona c mzuri cna kama wanawake wa rafik wa kaka yangu,hivyo kuvaa hirizi ni kawaida kwake kabla hawajaenda kwa gesti.Sasa juzi akajisahau kuivulia nyumban kwake,amefanya vile ili kumlinda bf wake asimpende mwingine..Mbaya zaidi kaka yangu alimuacha siku ile ile ingawa alimpenda,but kutojiamin kama ulivyo,its dangerous.Jiaminini wadada,hata kama huna vitu nakshi vya kumvutia mwanaume,Yupo atakae kupenda kweli,yupo mumeo.Hakuna alieumbwa peke yake.Ni hayo tu kwa jumapili ya leo.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwani hirizi ina tofauti gani na 'mahanjunati ya kizungu' katika kulinda mapenzi?

  Hirizi ni kiafrika zaidi na hii ni mapafyumu, kujiremba, kata mauno na sijui nini yote mahanjumati tu
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Wewe unamuonaje; ni kweli mbaya au hajiamini. Lol. Am just curious.
  Maana message nilopata hapa ni kuwa kuna uwezekano wanawake wabaya wakawa ndo washirikina. teh teh
  Wakati wengine wanasema waso na elimu ndio washirikina... Je ana elimu gani?
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh,kaz kweli kweli! ushirikina ni hulka ya mtu haijalishi mbaya ama mzuri. . . na dhana hyo husababishwa na kutojiamini. nliwah kuckia wanaume wanasema hawaoi wanawake wazuri kwan wana usumbufu sasa hyo mbaya mbona anakosa kujiamini while wanaume hawapend wanawake wazuri?
   
 5. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama hujiamini hata ukikata kipande cha nyama ya K... yako uweke kwenye chai umpe boyfriend wako kamwe usitegemee utapendwa. huyo mwanamke anatakiwa ajiamini, ajitunze, awe msafi, mstaarabu, majibu ya staha sio ya dharau, nguo safi pamoja na chupi sio yenye matobo matobo , anyoe sehemu husika anunike kidogo kama marash hana basi hata udi? mijasho mijasho no, nampa wiki mbili lazima watu watamuita na kumtongoza na sio kujirahisisha ovyo awe kama sitaki na taka mapozi kidogo siku mbili tatu ndio akubali, asikimbile kuomba omba vihela sijafnye umeridhika, hapo utawang'oa wengi saana.
   
 6. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  elimu yake kubwa,form 6.ni mdada wa nyumbani.
   
 7. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi namuona msafi mbona,kweli ni hulka yake 2.na my bro alimpenda but now,kamtupilia mbali.
   
 8. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi kachukua chombo cha ukweli,aman 2pu.nahisi akimuona atamwendea kwa mganga kabisa kujidhibiti na boyfnd ajae.
   
 9. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yuko poa kabisa,though wanawake mnatofautiana.kuna wazuri,wazuri kiasi,na wakawaida,hiyo ipo hakuna atakae kataa.ila hajiamini.
   
 10. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Naona wewe umebobea. Good!
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na haya tu umemwambia huyo muhusika au umekuja kuyasemea humu jf? .....huyo dada ni memba humu ndani?
   
 12. H

  Hute JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,921
  Trophy Points: 280
  uyo wa hirizo amekamatwa tu, wako ambao wanachanjia, wapo wanaonijuiza etc ili ukigusa tu wanakufanya mlungule huwaachi ng'o hata ukiwafumania laivu....huyo wa hirizi naona alikuwa hajui vizuri wanavyofanya wenzie...mimi nilishawahi kuingia choo cha kike kipindi fulani, akaniendea kwa mganga kabisa, alafu akanidanganya kuwa nimemtia mimba akalia sana nimwonee huruma ili nitunze mima ile hela ya mimba awe anakula yeye na kununua fenicha...cha ajabu hakuwa na mimba kabisa, alikuwa na mimba feki, sasa nilishtuka kila nikikutana naye anataka gemu hata mara tano, na analazimisha mimi nijojoe ndani na mimi sitaki mimba yake....kumbe alikuwa alishaknywaga vidonge, sasa alipopenda kuzaa na mimi ikashindikana akawa anajaribu zali kwa mba tukifanya sana ndo mimba itaingia...hahaha, nilipokuja gundua, nilimfukuza kwa bastola...hadi leo hii akiniona mtaani anabadilisha njia tusikutane....wanawake wana siri sana, amini usiamini, usijemwamini mwanamke ambaye sio mkeo hata siku moja, hasa akijua kuwa umeshaona ndo kabisaaa atafanya njama za kukudanganya hadi akuchune..
   
 13. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yeh,nahisi alikuwa mgeni kwa mambo hayo,hapo kwenye mimba ndo usiseme,lazima akukamatishe tu,ili utoe malezi na uoe..mwingine hata kutumia kinga hataki..na Gemu utapewa kila muda unaoutaka.c anajua ndo atakapo kamatika mtu.Kumbe kuna wajanja.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hata mi hua najiuliza kitu hicho hicho..unasikia watu wameenda kwa waganga ili ampate mwanaume flani eh....ndio maana tumelaaniwa hivyo...
   
 15. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  ni hirizi au shanga za kiunon?maana kuna shanga za kiunoni zinaitwa chachandu(watu wa pwani wanavaa),ambazo ni urembo tu wa mwanamke kuvaa kiunoni,ni kama siku hizi wanawake kuvaa cheni ya dhahabu kiunoni.zina rangi mbalimbali,na kila rangi ina maana yake.mf akivaa red,ujue siku mbaya n.k
   
 16. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huo ni ujinga! kwa mtu anayejiamini na ambae anamtegemea Mungu kamwe hawezifanya huo ujinga. Ila believe me wanawake wengi sana wanafanya iyo kitu both wazuri/warembo na wale wasio warembo
   
Loading...