Inatia huruma

Anne Maria

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
399
98
Hebu wapendwa tusaidie kuwachangia walau hata kipost 1 hawa wanaotafuta wenza humu,, kwakweli wengine inakua kama post zao zinazaraurika kbisaaa khaaa tusaidiane basi wapendwa!!! cheers
 
lol Maria ujue wengine post zao zinautani mwingi ndani yake na wengine wako serious hapo ndo shida ilipo lol . Ila ni kweli usemalo bi dada.
 
mtu mkubwa hafundishwi kusema. Nimeshakuelewa
nakupa mwaliko karibu kwangu.
 
Uko sahihi sana na kwa upande mwingine hailetagi picha nzuri, wanaoletaga shida zao kuna baadhi ya wachangiaji wanaweka maneno ya kashfa,kejeli na utani,hivyo kupelekea wengine ambao wanashida kabisa kutokufikia malengo waliyoyatarajia
 
Aiseeee!
Sasa si ungeenda moja kwa moja kwenye thread zao kuchangia? au na wewe ni mmoja wa waathirika nn!

hahahahhaha PakaJimmy....... ntaenda nilikua nimechoka jana nikawa napitia vichwa vya habari tuuu,, ila ntawa commentia
kuathirika na nini hapo?? hapana
 
lol Maria ujue wengine post zao zinautani mwingi ndani yake na wengine wako serious hapo ndo shida ilipo lol . Ila ni kweli usemalo bi dada.

Ni kweli kabisa unavyosema,,kuna wenye matani ila kuna ambao wapo serious,, we unamkomentia tuu hata ikiwa ni kwa kumkosoa ili asijisikie vibaya....
 
Uko sahihi sana na kwa upande mwingine hailetagi picha nzuri, wanaoletaga shida zao kuna baadhi ya wachangiaji wanaweka maneno ya kashfa,kejeli na utani,hivyo kupelekea wengine ambao wanashida kabisa kutokufikia malengo waliyoyatarajia

Comi nakubaliana na wewe asilimia 100,, hii inaumiza kwakweli,, u feel kana kwamba watu hawajali yaani kile unachowashirikisha,, kiubinadamu si vizuri jamani
 
Uko sahihi sana na kwa upande mwingine hailetagi picha nzuri, wanaoletaga shida zao kuna baadhi ya wachangiaji wanaweka maneno ya kashfa,kejeli na utani,hivyo kupelekea wengine ambao wanashida kabisa kutokufikia malengo waliyoyatarajia

Yani Ndg Comi uko sahihi kbs.
Unajua kuna watu wapo humu jamvini kwa nia moja tu,KUKOSOA MAWAZO YA MTOA POST
Kuna huyu TIQO,
Kwa kweli muwe Aware nae sana.
Kama mtu huna shida ya kuchangia,
inakuwashia nini Post ya Mtu?
KWENYE SAKO LA NYANI,NGEDERE HAWAKOSEKANI
 
Mbona hujachangia yao umekuja kuanzisha thread huku? Kwa hiyo hata kama mtu kaandika kama bata kaparua tuchangie tu?
 
Uko sahihi kabisa Madame B,,, na kiukweli sio vizuri inatupasa tubadilike kwakweli
 
Mbona hujachangia yao umekuja kuanzisha thread huku? Kwa hiyo hata kama mtu kaandika kama bata kaparua tuchangie tu?

nikiingia humu ambapo ni mara chache chache huwa nachangia,, lakini kila nikija nakuta watu wamepost kitambo views nyingi lakini hamna comment,, hata kama mtu kaparua kama bata ni vema umkosoe kuliko uisome halafu uipite sio vizuri... mtazamo wangu tuu lakini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom