Nimeamua kugive up lakini naumia....

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Yalikuwa mapenzi ya dhati toka moyoni Mwangu na nilitamani kila mtu ajue nilizimika kwa Mtoto Sophy! Sikutaka nimuudhi kwa namna yoyote ile!
Nilipomkosea sikujivuta.. Nilimwangukia na kumuomba msamaha! Sikujali kuwa yeye ni just form four leaver ambae hata kwenye mtihani hakufanya vizuri, ckujali elimu yangu pamoja na uanaume wangu! Sikuwahi kwenda kwake mikono mitupu, Mara juice ghali, Mara chipsi, Mara nguo, kuku, voucher na vitu kibao ili ajue kuwa nilimpenda ingawa yeye hakuwahi kininunulia hata pipi!
Akikosea hakuwa mrahisi Wa kuniomba msamaha hadi nimwambie afanye hivyo kwa lazima! Sikuogopa hata kumpa mamaangu aongee nae kwenye simu!
Dahhhh! Hakujali,
Nilimwambia mwenendo Wa mahusiano yangu ya awali lakini nikimuuliza alidai sikuwa chanzo cha wao kuachanaso hainihusu!!!

Kwa kweli nilichoka, hakunipa nafasi ya kushika simu yake hadi aikague kwanza na wakati mwingine akipigiwa anaongea akimaliza anafuta call received! Alinipangia siku za kumtembelea na masaa hasa ya usiku, hakutaka nionekane na mtu yeyote majira ya mchana, nikifika kwake kuanzia mida ya saa Mbili usiku na kuondoka saa kumi na moja ya asubuhi! Kwangu hakuwahi kuja kwangu pamoja na kumsisitiza Kisa eti yuko busy na kazi( stationary)
Tukipishana Mawazo anapanda hadi anafikia maamuzi makubwa kabisa ya kununja mahusiano! Akinimbia kitu hataki nimuulize mwingine ili nijue ukweli hata ka ni rafiki yake, atadai eti kwa kuwa simuamini niachane nae ili niende kwa ninaowaamini! Nilichka nikakubaliana na maamuzi yake ya kuvunja mahusiano lakini bado no maamuzi yanaoutesa moyo wangu!! Nashindwa kabisa kumsahau coz nilimpenda sana pamoja na maasibu aliyonofanyia!
Duhhh! Nifanyeje? Ukishawahi kukutwa na Hali Kama hii? Ulifanyeje ukashinda?

Nishauri!
FB
Tukipishana Mawazo kidogo tu alipanda hadi anataka tuvunje mahusiano!
 
Naamini baada tu ya kuandika kilicho moyoni mwako, kuna unafuu flani umeupata unahisi kama kuna mzigo flani mzito umeutua.
Ndugu yangu love haina mjuzi, unacheza tu kulingana na beat yenyewe lakini tabia ambayo mpenzio anakuonyesha hutegemea sana na wewe mwenyewe unavyom'treat.
Ili kosa lisije likajirudia kwa mwengine utakayempata hebu jaribu kwanza kubadilika wewe mwenyewe.
Nakuona kama una vielements vya 'Mume b.w.e.ge'
 
Duhhh!! Xo niwe dictator? Kumpenda mpenzi wako na kumwosha unavompenda na kumjali ndo ubwege jamani????
 
Duhhh!! Xo niwe dictator? Kumpenda mpenzi wako na kumwosha unavompenda na kumjali ndo ubwege jamani????
It's not easy to understand. Umenitisha uliposema hakupi muda wa kukagua simu yake, sometimes akimaliza kuongea anafuta received calls. kwanini ukague simu yake? kwa nini afute received calls?
 
huwa inatokea.....unaweza ukampenda mtu lakini yeye wala mawazoni kwake haupo.......pole ndio maisha.....songa mbele.....
 
It's not easy to understand. Umenitisha uliposema hakupi muda wa kukagua simu yake, sometimes akimaliza kuongea anafuta received calls. kwanini ukague simu yake? kwa nini afute received calls?

Katika mapenzi sidhani Kama ni mbaya kushika simu ya mpenzio! But huyo akisikia tu nimegonga mlango anawahi kuchukua simu yake na kuanza kuikagua kwanza! What's there? Kwa nini asijiamini?
 
Pole sana! Naamini umefika mahali sahii pa kuomba ushauri.

Kwa maelezo ulio toa nimegundua kwamba.
1. Huyo binti hakupendi kama unavyo mpenda ndio maana unatumia nguvu nyingi
2. Kuna dalili za kusalitiwa ndio maana huwezi kuhoji au kushika simu yake au kuuliza marafiki zake wala huna haja ya kuumiza kichwa kuchunguza ni kwamba huyo ana kusaliti.ndio maana alikuwa ana kutishia kuvunja uhusiano kwa kuwa ana mtu mwingine, stuka

Nakushauri usahau pamoja na kumpenda kote jaribu kumsahau huyo hakufai kabisa.Tafuta msichana mwingine
 
inauma ila jikaze kiume....
engine huwa wanafanya hivyo wakijua unapenda mapaka basi.. ila ukichange atajigonga mwenyewe.. ila huyo si wa kumuwekea malengo atakusumbua.. ACHANA NAYE.. vumilia. jikeep busy... utamsahau.. jipe moyo kuwa si chaguo lako.. na chaguo lako mungu atakupa... pia jitahidi uwe unafanya mazoezi yatakupunguzia stress na kukuongezea furaha... usisahau kujchanganya na marafiki usipende kukaa peke yako... utakufa kwa mawazo..
 
Huo ni ukweli mkuu! Hadi sasa nahisi akinipigia simu na kunitaka turudiane ntafurahi sana coz naona kuachana na huyu manzi ni dhambi!

Pole sana..hapo hkna mapenzi piga moyo konde songa mbele na maisha yako
 
Wakati mwingine anadai eti mi mkorofi eti sipendi tukae kwa Amani, kwamba hata akifanya makvu niwe nayafumbia macho!! Jamani???
Pole sana! Naamini umefika mahali sahii pa kuomba ushauri.

Kwa maelezo ulio toa nimegundua kwamba.
1. Huyo binti hakupendi kama unavyo mpenda ndio maana unatumia nguvu nyingi
2. Kuna dalili za kusalitiwa ndio maana huwezi kuhoji au kushika simu yake au kuuliza marafiki zake wala huna haja ya kuumiza kichwa kuchunguza ni kwamba huyo ana kusaliti.ndio maana alikuwa ana kutishia kuvunja uhusiano kwa kuwa ana mtu mwingine, stuka

Nakushauri usahau pamoja na kumpenda kote jaribu kumsahau huyo hakufai kabisa.Tafuta msichana mwingine
 
He story inasikitisha ,,pole sana.jamani mapenz ingekuwa yanahukumiwa basi siku.zote yangebeba lawama ya.guilt ,, ,, yaan kesi kama hizo zipo sana stahamili m.mungu hamtupi mja wake ,, utapata atakae futa chozi lako
 
Mkuu pole sana. Huyo hakupendi hata kidogo, na usijaribu kuumiza kichwa juu yake. Msahau, kwani kwa hawa viumbe muda mwingine pasua vichwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom