nimegundua

Nambe

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
1,451
528
nimetoka kidogo nje, meacha laptop yangu ikiwa on, tena nkiwa jf, kuna kabint kako hapa home nlikaacha kanchek tv, nimeingia hapa ghafla nimekakuta na kenyewe kanaperuz humu, hii imenifanya nihc kuwa kuna wengi wetu humu wanaopostiwa vitu na watu wengine bila wao kujua lol.......ndio maana na vitoto vya form 4 tunakutana navyo humu....
 
that why kuna mambo unachangiaga huku hayana maana itakuwa ni huyo tu kaa
 
ukiwa in a place with kids around its better to sign out kama unaenda kufanya kashughuli hata kadogo... mimi yalishanikutaga hayoo,,
 
Watoto wa darasa la nne wapo wengi sana humu siku hizi, ndo maana uzi nyingine zinazoanzishwa unashindwa kuelewa psychology ya mwanzishaji iko vipi?! khaaa!
 
Back
Top Bottom