Natamani kupenda lakini nahisi ntalaumiwa

Think

Member
Jul 27, 2012
71
1
kupenda kunahitaji moyo hasa unapokuwa umependa kweli na umependwa kweli, lakini ni vigumu kujuwa napendwa au sipendwi. wengi wanasema love is money but kwangu love is the way you can handle your lover, BUT unaweza kuwa na pesa lkn usipendwe.

mwanamke au mwanaume hupenda nini ktk mapenzi? je maumbile ya mwili au shughuli on bed?

natamani kupenda lakini nahisi nikipenda ntalaumiwa labda sijui jinsi ya kupenda au sina pesa kama wengi wadhanivyo au.....

nishauri unavyojuwa kuhusu kupenda au kupendwa PLEASE
 
jiamini kwanza mkuu kable ya kufanya jambo lolote.
Kujiamini ni muhimu sana hasa kwa mwanaume.

Usipo jiamini hata mambo madogo yatakushinda.
 
aiseee mapenzi kweli yana-run dunia! khaaaaa! ngoja waje, mi sijielewi elewi kwenye hayo makitu!
 
kupenda kunahitaji moyo hasa unapokuwa umependa kweli na umependwa kweli, lakini ni vigumu kujuwa napendwa au sipendwi. wengi wanasema love is money but kwangu love is the way you can handle your lover, BUT unaweza kuwa na pesa lkn usipendwe.

mwanamke au mwanaume hupenda nini ktk mapenzi? je maumbile ya mwili au shughuli on bed?

natamani kupenda lakini nahisi nikipenda ntalaumiwa labda sijui jinsi ya kupenda au sina pesa kama wengi wadhanivyo au.....

nishauri unavyojuwa kuhusu kupenda au kupendwa PLEASE

hujawa tayari kimapenzi, siku ukiwa tayari utajikuta unapenda bila kuomba ushauri wa jinsi ya kupenda na wala hutaogopa kulaumiwa. Pia kumbuka hakuna shule ya mapenzi.
 
kupenda kunahitaji moyo hasa unapokuwa umependa kweli na umependwa kweli, lakini ni vigumu kujuwa napendwa au sipendwi. wengi wanasema love is money but kwangu love is the way you can handle your lover, BUT unaweza kuwa na pesa lkn usipendwe.

mwanamke au mwanaume hupenda nini ktk mapenzi? je maumbile ya mwili au shughuli on bed?

natamani kupenda lakini nahisi nikipenda ntalaumiwa labda sijui jinsi ya kupenda au sina pesa kama wengi wadhanivyo au.....

nishauri unavyojuwa kuhusu kupenda au kupendwa PLEASE

njoo nitakuonyesha napenda nini. ila kwa ufupi kila mtu ana kitu chake anapenda, common thing ni CARE.
 
hujapenda bado, siku ukilea utapenda hata aliyekuzidi umri. Mapenzi hayana shule wala dawa na ukipenda utakula hata nyama mbichi.
 
kujua unapendwa na mwenzi wako ni rahisi sana na vilvile ni ngumu sana kama ukikutana na mtu anayejua kuigiza mapenzi,kwani kuna watu wanjua kupretend ana kupenda....kumjua mtu anakupenda kwa dhati utamgundua tu kwa mambo haya 1.atakuwa wazi kwako kwa kila jambo 2.yuko tayari kwa lolote ilimradi alinde penzi lako...lakini anaeigiza utamjua kwa haya 1.atakuwa anamarafiki wengi wa kike ..kama yy ni wa kiume..na wengi wa kiume kama yy ni wa kike na utakuwa unadanganywa huyu ni mjomba ..mara baba mdogo ..mara ..rafikiake baba..n.k...2.vilevile simu za mara kwa mara mkiwa faragha afu kupokea anatoka pembeni...vilevile hataki ushike simu yake..lakini ukiwa nae anajifanya anakupenda balaa.vilevile mizinga na safari za kutunga haziishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom