Naomba ushaur ktk hil

Gold

Member
Aug 7, 2012
62
24
jaman naomben ushaur,natafuta my soul mate ,niko single kwa miaka mitatu sasa,nimeajrwa private frm najitegemea c mtu wa stareh ingawa hw nagonga win mara chache nifanyeje nipate soul mate wangu?nilwah kuwa kwny uhusiano back then ikawa complicated 2ka break up so nk decid kuwa single 4sm time so nw am ready 4 anthr rltnsh so naomben advice yenu ,wat should i do?
 
Simple rules in life1. If you do not GO after what you want,
You will never have it.
2. If you do not ASK,
The answer will always be NO.
3.If you do not step FORWARD,
You will ALWAYS be in the same place.
so kama uko ready 4 a new relation, go 4 it wangu.........
 
Mbona sijakuelewa? tukushauri nini? jinsi ya kutongoza/zwa? hebu fafanua vzr.
 
Yaani kuajiriwa tu unataka mwenza haraka, rekebisha maisha kwanza, ndoa za siku hizi asilimia kubwa wanajuta kwa nini walioa/olewa. Ndoa inaweza kuharibu/kurekebisha maisha yako, kwa hiyo ni bora kuingia ktk ndoa ukiwa unajielewa kiuchumi haijalishi wewe ni mwanamke au mwanaume.
 
Kwanza sijajua jinsia yako, kama ningejua nahisi ningeweza kukushauri vizuri zaidi. Nimesoma post yako kwa makini na nimegundua mambo mawili matatu hivi
  1. Moja nahisi kama umri wako bado mdogo sana
  2. You are too naive when it comes to relationships
  3. Umelelewa kwenye mazingira kandamizi yaliyokufanya usipate muda mrefu wa kujifunza ya Duniani
Hebu nambie kwanza jinsia yako then i will know what to advice you
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom