Sijui niseme laana maambukizo au ugonjwa au ndo vita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui niseme laana maambukizo au ugonjwa au ndo vita

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by telitaibi, Aug 7, 2012.

 1. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kulewa na madawa siku ipite, kutongoza, wanawake kupoteza wakati au kumendea waume za watu kuchuna nani hapa anatibika jamani au ndo wagonjwa wote. Kama hamjafunguka hivi ndo vita vikali viko kila mtaa kila mkoa kila nyumba tunapambanaje na haya ??????????

  Silaha ni ipi jamani
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Silaha ni Sala, kufunga na kuomba. Kumuachia Roho Mtakatifu a take control ya maisha yetu!
   
 3. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Silaha ni kumcha mungu, kushika neno lake na kutenda yanayompendeza.
   
 4. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa busara nakupa mia siku zote asante na roho mtakatifu asimame na watu wake malaika njooni door 2 door hali ngumuuuuu
   
 5. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli umelelewa kwa maadili mema usiache hata ukiwa mzee
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Those who humble themselves under God's hands, will take the best course to secure themselves.

  T.B.Joshua
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  telitaibi yaani leo nyuzi zako full kunipa raha ila nikushauri tu haya maisha bwana kwa tulioish kila kitu ni batili so Mungu peke yake ndiye jibu na suluhisho la haya uloyaeleza hapa.

  ngoja nikwambie maisha ya utu uzima kwa walio wengi yana ainisha maisha ambayo mtu alilelewa kwa walio wengi sasa wale ambao watayaona kama makuzi walaiyopitia ni mabaya na wakaamua kumpa Yesu basi hufaidi kwenye ipengele cha maadili kuliko wale wanaoishi kama kunguru.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kweli sijui kama yana dawa hospitalini
   
 9. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  the time is always right to do whats is right and now it time 4 us kuomba bila kuchoka hadi uzime pumzi.
   
 10. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hapa sasa ndo pa kupiga mbiu hadi MUNGU aseme neno 1 tu watu wapone
   
 11. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  mambo magumu si wakati wa kuyamazia tena ni wakati wa kutoa miliyo yake 2 wachukie watakao chukia wapone watakao pona ka kwisha maadili kila kona
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  haswaaa

   
 13. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni vema kama umeona hilo wanadamu kuishi nao imekua ngumu hatujuani tena bora mnyama ukimlea hata kama atapotea mkikutana atakukumbuka kwa harufu.
   
Loading...