'kuishi kwa dada'

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
WanaMMU
Mwanzoni nilidhani ni Utani..but as i speak now it seems that this has been common and people take it for granted.
Niliwahi kumsikia Masanja yule we Zecomedy akisema 'Nikushukuru wewe unayekaa kwa dadaako halaf umetulia na remote unaangalia kipindi'. Nikaja nikamsikia konda mmoja naye akimwambia mtu mmoja 'Mtu mwenyewe unakaa kwa dadaako halaf unajifanya kuringa'.

Nilijua watu hawa wanafanya utani tu..but mpaka naileta hii issue hapa kuna mtu ninayemheshimu naye nimemsikia anasema 'Bro..yaan yule dogo haoni hata noma kukaa pale kwa sister wake'. Hivi Jamani DADA zetu hawaruhusiwi kuwalea ndugu zao??..Kwa nini tunakuwa na negative perception kwenye hili suala?..Labda kwa wenye kuelewa zaidi kwa nini KUISHI KWA DADA ni soo watudadavulie hapa basi!

Ahsanteni!
 
Sasa dume zima utaendaje kuishi kwa dadako aliyeolewa??unaamka asubuhi unagombania chai na h/girl?! kwangu mimi haijakaa poa hata kidogo! Kwani huyo shemeji ameoa ukoo mzima?labda kama dada hajaolewa it might make sense.
 
kwa issue kwa sster si issue,naomba kwanza ni declare interest hili jambo linanigusa moja kwa moja,ubaya wa kuishi ni pale mtu anapoishi kwa sister bila dira na hujisghulishi na shughuli za shule au ajira kama umemaliza shule inakuwa tatzo zaid mhusika anapokuwa mtoto wa kiume,kwa hiyo ni vyema kuisha kwa sister kuwe very timed sio unajiachia kama vile ndo umefika ,kuwa timed while unadesign next move>
 
Mhhh SnowBall kun amambo ambayo kweli huwezi kufanya na kuna mipaka ya kuka akwa dada
Sijaona faida wala la maana kwa kaka mztu mzima kukaa kwa dada yako awe ameolewa au hajaolewa
na sio mbaya kwa dada kumlea kaka yake
Ila je uhuru wako au uhuru wake ukoje
Tuseme ameolewa yuko na mumewe hapo hapo home
Huoni kama unamyima raha kufanya kile ambacho angefanya kwa mkewe
Maana yeye anajua amemuoa dada yako na ana uwezo wa kumkiss na kufanya utundu wowote na mkewe
Sasa akiwa anafanya huo utundu wewe kaka yake unafeel vipi
Na je kama hajaolewa uhuru wake wa kuja na mwanaume wake ukoje huoni kama unamuingilia na hayuko huru
Maana pale ni kwake yuko huru kuja na mwanaume wake maana ni nyumba yake
Na je wewe nawe kama mwanaume unaweza kuja na gal wako pale na dada yako anakuonaje
na sio mmoja tuu kama kaka mtu anawabadilisha kama nguo hapo ikoje kwa dada
Kwenye nyumba dada najiamini anatoka na kanga moja maana yuko kwake mkakutana kwenye corridor hapo inakuwaje
Ahh mambo mengine sio ya kuombea au kuzungumza mkuu
 
Last edited by a moderator:
Sasa dume zima utaendaje kuishi kwa dadako aliyeolewa??unaamka asubuhi unagombania chai na h/girl?! kwangu mimi haijakaa poa hata kidogo! Kwani huyo shemeji ameoa ukoo mzima?labda kama dada hajaolewa it might make sense.

Mbona umekuwa too general..
Huo upoa unaoutaka wewe ni upi labda?
Unadhani kuishi na dadaako akiwa hajaolewa ndio ina make sense?..how?
 
kwa issue kwa sster si issue,naomba kwanza ni declare interest hili jambo linanigusa moja kwa moja,ubaya wa kuishi ni pale mtu anapoishi kwa sister bila dira na hujisghulishi na shughuli za shule au ajira kama umemaliza shule inakuwa tatzo zaid mhusika anapokuwa mtoto wa kiume,kwa hiyo ni vyema kuisha kwa sister kuwe very timed sio unajiachia kama vile ndo umefika ,kuwa timed while unadesign next move>

Kwa hiyo issue ni muda wa kukaa..
Ukikaa muda mfupi its okay?
 
Tuseme ameolewa yuko na mumewe hapo hapo home
Huoni kama unamyima raha kufanya kile ambacho angefanya kwa mkewe
Maana yeye anajua amemuoa dada yako na ana uwezo wa kumkiss na kufanya utundu wowote na mkewe
Sasa akiwa anafanya huo utundu wewe kaka yake unafeel vipi

Mr Rocky Is this the reason?..Na je kama kama yupo kaka au mdogo wa mume?..is it acceptable?
 
Last edited by a moderator:
acha tu nipite.....

maana sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi kwa dada au kaka yake au ndugu yoyote....
nadhani ni ugumu na matatizo ya dunia....
sema kwa vile mtu hatembei na bango la matatizo yake mtu huwezi kuona wala kujua zaidi ya kunyoosha vidole...

hivyo acha nisonge mbele.....
 
unless kama tutakuwa wote tumezaliwa mjini kama barabara za lami lakini kama kuna tuliotoka shamba huko na ister ndo wa kwanza kuja town wazee wakiwa wako huko migombani wanachuma kahawa wafikiri utashukia kwa nani? hivi Mr Rocky wewe ni mwanachuo let say hapa UDSM na hapa town hna ndugu zaid ya sister huwez kukaa kwake kwa muda hata kama kaolea ama la hadi upate pa kutokea?

sasa miye nakupa mfano wa maisha ya home kwetu kabisa shangazi yetu ndo alikuwa wa kwanza kuja town ndingi na maza enzi hizo wako shamba huko wanachuma kahawa bahati dingi akahamishiwa job dar maza ni ticha ulifikiri ilikuwaje? tulishukia hotelini enz hizo mawezi hotel tukawa tunaish hadi ipatikane nyumba ya serikali ila aunt kwa kuona huruma na maisha ya hotelini yeye na mumewe wakatukirimu dingi, maza na sisi watoto sasa hadi tukapata nyumba.

haya nawajua watu kibao wanamaliza chuo wanaegesha kwanza kwa sista zao hadi wapate mchongo mbona ndio undugu huo ishu hapa ni idham tu, wala siyo jambo baya.

tatizo hao wanaonangwa ni wale watto wa mama kula kulala miaka hata mimi hawa siwafagilii ila wa kukaa mwezi miezi hadi upate pa kusimama mbona poa tu.
 
Last edited by a moderator:
acha tu nipite.....

maana sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi kwa dada au kaka yake au ndugu yoyote....
nadhani ni ugumu na matatizo ya dunia....
sema kwa vile mtu hatembei na bango la matatizo yake mtu huwezi kuona wala kujua zaidi ya kunyoosha vidole...

hivyo acha nisonge mbele.....

BADILI TABIA don't pass by please!..say something!
 
Last edited by a moderator:
Mbona umekuwa too general..
Huo upoa unaoutaka wewe ni upi labda?
Unadhani kuishi na dadaako akiwa hajaolewa ndio ina make sense?..how?

akiwa hajaolewa at least inaeleweka ni kama vile kuishi nyumbani kwa wazazi pamoja..
Akishaolewa ni case tofauti kabisa just imagine dadaako akipishana kauli na mumewe upo unawasikiliza, shemejio akitaka kujiachia hata kwa kiss na dadaako siting room wakicheck pembeni na wewe upo unakodolea tv, sometimes unakuta wote mnategemea kipato cha shemeji what a shame?! Siku dada ako akimbore shemeji yako mnatimuliwa wote?? Mambo mengine ni aibu za kujitakia akhaaa!
 
To my view yoote hii inasababisha na extended family ambazo tunazo waafrica. Kukaa na ndugu yako mkubwa au mdogo inategemea familia yenu ikoje kama dada ndo ametoka kwenye familia na ameolewa na mume mwenye uwezo ni sawa kusaidia ndugu zake ila wakikubaliana na mumewe na kama mume hataki huwezi kuta ndugu wako pale hata kama kwao wanataabika.
Kwa kweli inachosha kutegemewa na mtu asiye na mbele wala nyuma na haeleweki yaani hata mkimuweka kwenye biashara anafail, akitafutiwa ajira anasepa coz dada na shemeji wanazo looh huyo ni noma coz siku mume vikimjia anaweza mtimua. Hata ndugu wa mume wa kiume kukaa kwa kaka yake pia sio awe mkubwa au mdogo japo hapa mfumo dume unatumika.
Kama huyu anayekaa kwa dada yake anashuhuli maalum labda anasoma that means akimaliza shule ni kutafuta ajira na kusepa so uvumilivu hapa utakuwepo kwa dada na shemeji the same kwa ndugu wa mume. Ila kam huyu anayekaa kwa dada/kaka hana shuhuli si sawa mwanaume kujitegemea na kujijenga kwanin ndio kichwa cha familia sasa atakuwaje na familia kama yuko kwa dada yake hadi nguo zinafuliwa na mashine full ac sebleni na hana mpango wa kujitegemea huyu anatakiwa atimuliwe hapo kama ajira zimegomba hata zege abebe apate hata hela ya kununulia deo au hata kufuli kwani kukaa huko kwa dada bila shuhuli matumizi ya vocha utaomba na mafuta utaomba ya condom na boxer je? si aibu hii au utamwambia dada naomba kama laki hv nnashida nayo then unaangalia pembeni... hii aibu hata skubali mi kama ni mdogo wangu au kaka yangu naongea nae namweleza kwa uzuri tu maisha sii hivyo, kupigana na kwenda nayo kadri upepo unavovuma.
ndomana wanaume wengine wanaolewa hvhv na bado anakaa kwa sis balaaa hili ati usiombe likukute au uwe na mtu anayekuhusu loooh!!
 
akiwa hajaolewa at least inaeleweka ni kama vile kuishi nyumbani kwa wazazi pamoja..
Akishaolewa ni case tofauti kabisa just imagine dadaako akipishana kauli na mumewe upo unawasikiliza, shemejio akitaka kujiachia hata kwa kiss na dadaako siting room wakicheck pembeni na wewe upo unakodolea tv, sometimes unakuta wote mnategemea kipato cha shemeji what a shame?! Siku dada ako akimbore shemeji yako mnatimuliwa wote?? Mambo mengine ni aibu za kujitakia akhaaa!

have my like.... umo mawazoni mwangu
 
tatizo hao wanaonangwa ni wale watto wa mama kula kulala miaka hata mimi hawa siwafagilii ila wa kukaa mwezi miezi hadi upate pa kusimama mbona poa tu.

Mwalimu gfsonwin nimeipenda hii..
Lakini mbona watu hawasemi anakaa kwa kakaake hata kama ni mdada???..has it something to do with mfumo dume?
 
Last edited by a moderator:
kuishi kwa ndugu yoyote sio tatizo, ila unaishi kwa malengo gani hilo ndo swala la msingi.
Hata kama ni home kwa wazazi sio busara kuendelea kuishi hasa kwa mtoto wa kiume bila ya kuwa na mpango.
Uwe unaishi kwa dada, kaka, baba, mama, rafiki au mtu yoyote lazima ujue hapo sio kituo bali ni njia ya kwenda kujuitegemea (kuishi kwako). tatizo ni wale wanaodhani wamefika, wanajiachia hata kwa wazazi wao mpaka mtu ana miaka 30 na zaidi yupo tu kwa mdingi, anakula ugali wa shkamoo na hana plan ya kuondoka.
Hili halijakaa vzr hasa kwa wanaume.
 
To my view yoote hii inasababisha na extended family ambazo tunazo waafrica. Kukaa na ndugu yako mkubwa au mdogo inategemea familia yenu ikoje kama dada ndo ametoka kwenye familia na ameolewa na mume mwenye uwezo ni sawa kusaidia ndugu zake ila wakikubaliana na mumewe na kama mume hataki huwezi kuta ndugu wako pale hata kama kwao wanataabika.

Lazima mume awe na uwezo eh?
BTW sakapal salama??
 
Last edited by a moderator:
SnowBall acha hiyo habari hata kijana kukaa kwa kaka mtu mawifi huwa wanawatesa sana mimi nina kaka yangu anasoma hapo udsm alikuwa akifunga chuo anajiegesha kwa kaka yangu lo alikuwa anafanyiwa visa mpaka eeehu basi mimi mdogo wake nikamwambia isiwe shida njoo kaa kwanguuuu ila mbona haokuwa shda inategemea sana huyo mme wa dadayak akoje ukikuta ndio kamwokota baa basi atawanyanyasa wote
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu gfsonwin nimeipenda hii..
Lakini mbona watu hawasemi anakaa kwa kakaake hata kama ni mdada???..has it something to do with mfumo dume?

hapo sasa utafikiri haowa kukaa kwa kaka ndio wajanja sana kumbe nao ni wale wale tu unakimbizana kordoni na shemeji yako lol! halafu hawa wa kukaa kwa mabro ndio wale usiku akimuona bro kainga chumbania na mkewe naye anapaka h/gel ten usinikumbushe aisee aagggrrrrrrrr........... ilinitokea mimi hii. shem na binti wa kazi walimimbana.
 
Back
Top Bottom