rafiki wa gym

Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,275
1,655
natafuta rafiki (strictly platonic) wa kwenda nae gym na kupiga stori za kawaida wakati wa jioni. vigezo
  1. awe na usafiri binafsi
  2. awe wa eneo lolote dar es salaam
  3. ajilipie membership mwenyewe
tuma PM kama uko interested.

EDIT: nimebadilisha vigezo vya location kufuata ushauri wa gfsonwin na Ndahani
 
Last edited by a moderator:
miye vigezo vyote ninavyo ila tu makazi siish huko ....................
 
Duuh...kazi ipo. Mimi ninayekaa tandale itakuwaje?
time constraints, sipendi kuendesha usiku, soo 8pm ndio limit yangu.

miye vigezo vyote ninavyo ila tu makazi siish huko ....................
time constraints, sipendi kuendesha usiku, soo 8pm ndio limit yangu, unless u're really good au unajua iliyoko karibu. siwezi kwenda tandale 5/week for gym :<
 
Sasa time constrain inahusikaje na umesema awe na usafiri binafsi? Manake mkitoka gym, mkapiga story si kila mtu na lwake? Mie nakaa kisarawe bwana, usinibanie! Karibia nasahau kuongea kiswahili fasaha.
 
time constraints, sipendi kuendesha usiku, soo 8pm ndio limit yangu.

time constraints, sipendi kuendesha usiku, soo 8pm ndio limit yangu, unless u're really good au unajua iliyoko karibu. siwezi kwenda tandale 5/week for gym :<

sasa Blaine kila mtu si ana gari lake? ama wewe wataka lift? manake pengine ndicho ambacho hukuiweka sawa hapa. miye nakaa kibaha na na drive hata usiku wa manane ila kama wewe ni geti kali saa 12 unaingia home sina shaka miye mda huo nitaanza safari ya kurudi kwangu ama? acha kubana mkuu
 
haya basi dada gfsonwin dada ntabadilisha vigezo, pia mimi sio geti kali

Sasa time constrain inahusikaje na umesema awe na usafiri binafsi? Manake mkitoka gym, mkapiga story si kila mtu na lwake? Mie nakaa kisarawe bwana, usinibanie! Karibia nasahau kuongea kiswahili fasaha.
sijazoea driving usiku, tutapiga story usijali. najaribu kuongeza marafiki, nilidhani labda wengine hawapendi night driving kama mie.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiria nikikubali what are the benefits ya friendship hii......just chatting, nijilipie gym, niunguze mafuter 5x a week. Mmmmhh
 
teh Teh teh...gfsonwin....lazima nipigane maana huwezi kujua bwana. Inaweza ikawa ndio njia mbadala ya kukata kilo kadhaa kwenye tumbo langu.

ha ha ha ha ! na huyu ndiye rafiki sio wale wakusema tukanywe ma pombe na manyama choma. miye natafuta wa kwenda naye swin class pale IST ni safi sana and quite exciting.
 
Nafikiria nikikubali what are the benefits ya friendship hii......just chatting, nijilipie gym, niunguze mafuter 5x a week. Mmmmhh
hii ofa ni ya friends 'without' benefits lol. just regular i think, kujilipia gym sio tatizo, financially niko stable, naweza kutoa ofa ya lunch nikiwa nina mood nzuri lakini sio kawaida. naepuka marafiki wa ofa

IST ya masaki au ipi?? ni wazo zuri pia, ongeza info tafadhali :>
 
IST kuna madarasa ya swimming muda gani? Na ni kiasi gani? Swimming ni moja ya mazoezi mazuri kweli....ila bora umegundua aina ya marafiki....halafu ni kuongea gym tu!
 
Bwana wewe mbona unanivunja mbavu hapa! Kumbe huwa unaendesha mambo kwa mood! Ila seriously ni mtu poa kutafuta marafiki wa kufanya kitu cha maana
 
natafuta rafiki (strictly platonic) wa kwenda nae gym na kupiga stori za kawaida wakati wa jioni. vigezo
  1. awe na usafiri binafsi
  2. awe wa eneo lolote dar es salaam
  3. ajilipie membership mwenyewe
tuma PM kama uko interested.

EDIT: nimebadilisha vigezo vya location kufuata ushauri wa gfsonwin na Ndahani

Asante kwa kuzingatia ushauri mkuu
 
Asante kwa kuzingatia ushauri mkuu
you are welcome

Bwana wewe mbona unanivunja mbavu hapa! Kumbe huwa unaendesha mambo kwa mood! Ila seriously ni mtu poa kutafuta marafiki wa kufanya kitu cha maana
naepuka rafiki kusema ' ahh! huyu nae, siku zote hizi hata ofa ya lunch/out hajanipa'. sina mood swings hivyo usiwe na mashaka
 
Madame, benefit hapo ni company ya gym. Unless ni mtu wa mazoezi huwezi elewa faida ya kuwa na company ya gym, inakushawishi kwenda mazoezini na kupunguza hiyo kitambi. Faida ni uzuri mwanawani na afya njema.

Ni sawa na company za beer zilizopo humu. Watu wanakutana stuli ndefu na wanafanya maisha more interesting.

Blane, I hope hutojali kama my hazbend PAW atakuwa ana-tujoin mara kadhaa mie na wewe na gfsonwin. Ndo nataka nijaze fomu ya ruhusa hapa manake PAW organisation yake kama jeshi la urusi!
Nafikiria nikikubali what are the benefits ya friendship hii......just chatting, nijilipie gym, niunguze mafuter 5x a week. Mmmmhh
 
Last edited by a moderator:
IST kuna madarasa ya swimming muda gani? Na ni kiasi gani? Swimming ni moja ya mazoezi mazuri kweli....ila bora umegundua aina ya marafiki....halafu ni kuongea gym tu!

darasa ni jion fro saa 10 inategemea muda wako una kulipa membership ama kuingia ka kulipia kila siku. so unachagua wewe unataka nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom