Girlfriend anahitaji ndoa

Jul 26, 2012
51
6
kwa kawaida mapenz kabla ya ndoa yanapaswa yachukue muda gan then muingie ktk ndoa? nina girlfriend wangu kwa miezi miwili sasa lakin anahitaji tuish pamoja ni kwel nampenda lakin cjawa na sababu za kuoa. rafiki niokoe kwa mawazo yako.
 
hicho kimeo....ndoa ndani ya miezi miwili.....? na ni msichana ndio anadai....?....stuka jombaa....hakuna kitu hapo......
 
mh mapema sana wangu, mwenyewe unasema hujawa tayar, so huna sabab ya kufanya hvyo.....
haya ndio yale ya miss desperate lol,
ana umri gan my gf wako
 
Huyu mdada nae sie kabisa anatafuta hifadhi mjini,yani miezi miwili hajui kama unakojoa kitandani au mwizi..
 
Jamani dada wa watu labda ameshadanganywa sana huko nyuma kuhusu kuolewa halafu akawa anaishia kutendwa, ndio maana saiv hataki kurudia kosa! Ndugu jiandae kama hamtumii cndm bibie atakuambia ana mimba, mwenyewe utajikuta umeweka kitu ndani bila kupenda..! Usicheze na mwanamke akipania kufanya kitu!!
 
Kama hauko tayari kuoa kwanini unaingia mahusiano na huku unampa hope togeza forever?
 
mwambie swala la kuoa sio la kuamua kesho naoa,me naamini linatokea tu lenyewe baada ya kusomana kwa muda fulan hiv,hii ilishantokea sana nachowambia ni kwamba tuombe Mungu...
 
Usipaparikie ndoa ndugu yangu kama haujajipanga, utafanya ndoa iwe ndoana kwako.
 
hicho kimeo....ndoa ndani ya miezi miwili.....? na ni msichana ndio anadai....?....stuka jombaa....hakuna kitu hapo......

umekuwa mkali msichana wa watu hataki kumchezea kijana wa watu anataka amiliki jamani hapo amekosea nini mtoto mzuri huyu hataki kurukaruka keshafika
 
Kuna kitu anatafuta huyo hana lolote......Mademu wengi siku hizi wanalilia ndoa balaa sijui shetani gani kawaingia aiseee.
 
Pretta hun take it easy assume amefanya typing error
Back to mada she's 22 and thinking of marriage??? kaka jiulize mara mbili,, family history ya huyo mdada ipoje?? muweke wazi,,, ndoa sio kitu cha kukurupuka.. nawasilisha
 
Miezi miwili tu??

Anyway, tunatofautiana.
Kwangu hata ingekua Mwaka, still BADO!!!
 
shukran sana kwa michango na mawazo yenu ndugu zangu, nimewasoma mpaka nimepitiliza. kiukwel ilinishangaza nikaona niweke kitu mezani. but dada pretta, 4give me take it easy dadangu wa ukweeeli.
 
shukran sana kwa michango na mawazo yenu ndugu zangu, nimewasoma mpaka nimepitiliza. kiukwel ilinishangaza nikaona niweke kitu mezani. but dada pretta, 4give me take it easy dadangu wa ukweeeli.
 
Back
Top Bottom