Hii ni tabia mbaya sana

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Ivi watu wanao wabeza wanawake wakichaga kwa bidii yao ya kufanya kazi wanawaza vizuri? Au ndio wale wanaopenda kuwa na wanawake omba omba au wivu wa maendeleo. Nilidhani tutawapongeza kwa kuwa na mapenzi ya kweli. Hizi ni dalili za uvivu na kutopenda maendeleo. Thanks
 
just imagine.......bora hata wewe umeliona hili.......
halafu tukipata wanataka tuje tuwalee....pumbafu sana.....
 
just imagine.......bora hata wewe umeliona hili.......
halafu tukipata wanataka tuje tuwalee....pumbafu sana.....
Hapo chacha.tena sio kumlea tu umlee na umnyenyekee wakati kawaida anayelelea ndo huwa ananyenyekewa
 
Hakyanani mie nawapenda sana wanawake wakichaga..
They are money-oriented..
Na duniani hapa nani hapendi hela ati!!!
Look one for me please Preta
 
Last edited by a moderator:
mie naoa mwanamke mmarekani maana wale ndio hardworking balaa alafu no kukata tamaa kama timu yao ya wanawake.
 
nimekasirika sana hata mie.

Kumbe mie hata si mchaga, jamani mie naye kwa kupenda kesi!
 
nakunywa dompo....kuongeza kodi nchini mwangu.......
Unaletewa, zije ngapi mezani? Hakika napenda napenda mwanamke ambaye hata kama mko kwa kinywaji mahala... anaweza kuzama kwa mkoba wake japo kwa ku-share cost. Ambaye anaweza kusema "it's my turn..."
 
Bongo mwanamke anayeweza kusema its myturn hajazaliwa bado. Ni sawa na kutafuta demu bikra mwenye miaka 30.
 
Nilitamani sana kuoa Mchaga but nasikitika Mmachame niliyempata mimi sijui alikuwa wa wapi.....!!! Alikuwa akija kwangu, sikatai kwenda kwa mpenzi ni sehemu ya mapumziko lakini huyu alikuwa kiboko!!

Asubuhi alitaka nimpeke kwa hotel kupata break fast then nimrudishe home! Mchana nikamchuke nimpeleke luch then nimrudishe home, jioni vile vile daaah alikuwa anaangalia TV huyo mpaka TV inamuonea aibu!!! Nilidhani ata-change lakini ikawa ndiyo hivyo hata akae miezi miwili kwangu, na ndani nilikuwa na kila kitu tena vya kurahisisha mapishi hata kwa wananume kama vile jiko la gas, pressure cooker, deep fryer, rice cooker, etc.

Nilijitahidi kumbadilisha lakini hakubadilika nikaamua kumwagiliako mbali tena nikimpa live sababu za kumwaga ingawa nilikuja kugundua kuwa hajui kupika kabisaa so ilikuwa ni kama kumuonea vile but ndo hivyo hakuwa wife material!!! Ni kosa la familia yake naamini!!!

Nikajikuta nahamia pande za Pareni!!!
 
ni kweli hard workers....ila wanazitafuta kwa namna yoyote, kihalali n vice versa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom