Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea
habari za hapa wanajamii...?? nigependa nipate ushauri kwa walio ndani yandoa tu, maana mii natarajia kiungia ndani ya ndoa !.. hasa wale ambao ndoa zao zinaumri wa miaka 10 na zaidi. ni...
Mara nyingi kuwa macho na mgema unaposifiwa......
Mara nyingi ni kuwa mnywaji anakujengea hoja ya siri....
Mara nyingi mgema huvimba kichwa na kudhani mambo shwari
Mara nyingi mambo huwa siyo...
Siku za karibuni imekuwa kama fashion watu wengi kutupia picha za nyeti zao katika mitandao ya kijamii huku kila mmoja akiwa na lengo lake, wapo ambao wanatafuta kujulikana, wengine ndio kazi...
Ilikuwa mwezi march kampuni nayofanyia kazi ilibahatika kupata wageni toka kampuni mama ambayo makao makuu yake yapo ubeligiji, wageni hao walikuwa ni wazungu toka ugeligiji. Wageni hao...
Huwa Nawakumbusha Wadogo Zangu Na Kaka Zangu Kuwa MNAPOTAKA KUOA MSICHAGUE WA UCHANGANYIKENI VILLAGE
Ona Sasa Huyu Nae Kadata Mpaka Kaniomba Ushauri.
Nanunukuu....
Mie nimeolewa nina watoto 2...
Jamani, hivi kwanini wanawake wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi.
Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, sox, gloves, kofia, n.k.
Ni wanakwaya za dini tu ndiyo...
Hebu kutana na huyu mwanamke mke wa mtu lakini alikuwa na mpenzi daktari.
Jamaa alikuwa anaumwa sana mkewe akamwita daktari, daktari alipofika akamkuta jamaa kafumba macho;
Dokta: Huyu mbona...
Wadau,
Umri wangu ni miaka 31 na sijaoa wala hata kufikiria hiki kitu kwa hata miaka mitano ijayo.
Tatizo langu kubwa ni kua toka nlivyoachana na Msichana mmoja hivi yapata miaka mitatu...
They have gone to school. They have high profile jobs and are probably driving the latest cars. But behind the shiny curtains, educated women engage in cheating more than their less educated or...
hivi wadau unakuta katika hali ya kawaida mnposoma watu wenye camera especially digital huwa wanahesabika lakini wakati wa mahafali wote wanamiliki,sasa je huwa wanaacha nyumbani au inakuwaje
mimi ni newcomer hapa ofisini kwetu, na kwa bahati mbaya session yetu ina wanawake wengi wengi kuliko wanaume, nikisema hivyo namaanisha maboss wangu wanne ni wa kike na wawili ni wa kiume wote...
Swali langu hapo juu...
Nini kinachopelekea watu kupewa majina haya yafuatayo..
1.Mwanaume Suruali.
2.Gogo mtu
3.Nyoka wa kibisa
....mengine mtaongeza..na sababu....
...,
..........
Eti mila potovu Tanzania zawanyima watoto haki ya kupata lishe ya maziwa ya mama, je wanaume wanapaswa kunyonya maziwa ya wake zao wakati wakiwanyonyesha watoto?? Mila za wanaume kunyonya maziwa...
Jamaa alianza kwa kuomba opinion kama hivi ( bila shaka huyu jamaa ni black)
who="Gardenz"]Yesterday my colleagues had a discussion about rich and famous black / coloured men and how "angry"...
Niliwahi kumnasa mwanasaikolojia fulani anasema"the great the distance the great the love" akimaanisha kwa tafsiri isiyo rasmi kuwa, jinsi wapenzi wanavyoweza kutengeneza umbali flani kati yao...