mwanamke/mwanamme husifiwa nn kweny nyumba

lukme

Senior Member
Apr 18, 2012
191
24
jaman waungwana hv mke/mume ni vitu gani hasa basic ktk lyf wanatakiwa kihakikisha wanayo ndani ya ndoa ili wadumu?
 
Mwanamme: Uwezo wa kuongoza, Uwezo wa kutunza, kupenda, kuhudumia, kushauri na kulea!
Mwanamke: Uwezo wa kushirik kwa upendo hayo ya mwanamme.
 
Inategemea personality ya kila mmoja, na personality ya parner wake. Ila in my humble opinion, affection, understanding na communication (among others) ni muhimu pande zote.
 
Wanatakiwa wote wawe na Upendo na huruma ndio watadumu. Kinachofuata ni kila mmoja kujua wajibu wake nayo ni mada nyengine
 
it is a mans duty to pleasure his woman in bed.. #the kamasutra
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom