Kwanini watu wanapenda kuvaa mitumba?

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,785
821
Jamani, hivi kwanini wanawake wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi.

Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, sox, gloves, kofia, n.k.

Ni wanakwaya za dini tu ndiyo wanavaa suruali za hapa hapa.
 
Duh,

Nilivyoona "nguo za ndani" nikafikiri ni zile za "sehemu za siri".
 
Jamani, hivi kwa nini watu wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi. Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, chup.i, sox, gloves, kofia, n.k. Ni wanakwaya za dini tu ndiyo wanavaa suruali za hapa hapa.

Kwanza ungelitupa jawabu la masuali haya, ni kwa nini unaongea lugha mbovu kama sio mtanzania? kwa nini unatumia lugha ya kiswahili cha kikenya au kiganda? eti nguo za ndani? tena imekuwaje kuwaje ukawa mjuzi wa issue hii ya kuwa kila mtu anavaa nguo kutoka nje ya nchi? unatabia ya kukaa mahali na jarida lako na kusambasua kila anaepita? get a life!
 
Jamani, hivi kwa nini watu wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi. Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, chup.i, sox, gloves, kofia, n.k. Ni wanakwaya za dini tu ndiyo wanavaa suruali za hapa hapa.

mi navaa bhana
 
Fanyia research upate pHD

Jamani, hivi kwa nini watu wengi hasa vijana hawapendi kuvaa nguo za ndani ya nchi. Watu wengi wanapenda mitumba hadi sindiria, chup.i, sox, gloves, kofia, n.k. Ni wanakwaya za dini tu ndiyo wanavaa suruali za hapa hapa.
 
Zamani nguo za ndani (ch...p) zilikuwa zinafunika makalio yoote na kuwa kama bukta fulani hivi....muda unavyokwenda...sasa makalio yanaziba kabisa hiyo nguo ndoogo sana ya ndani inaingia ndani na inafichw ahukoo ndani kuipata lazima ufungue humo ndani kama unafungua kitabu!!!
 
Hivi kuna nguo za ndani ya nchi? zina nini, bendera ya Tanzania?
 
Zamani nguo za ndani (ch...p) zilikuwa zinafunika makalio yoote na kuwa kama bukta fulani hivi....muda unavyokwenda...sasa makalio yanaziba kabisa hiyo nguo ndoogo sana ya ndani inaingia ndani na inafichw ahukoo ndani kuipata lazima ufungue humo ndani kama unafungua kitabu!!!

Nd'o ivo mambo yanazidi ku-change, baadaye watu watavaa ka-uzi flan ivi.
 
Back
Top Bottom