Nini Sababu ya Kuitwa Mwanaume Suruali,Gogo....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Swali langu hapo juu...
Nini kinachopelekea watu kupewa majina haya yafuatayo..
1.Mwanaume Suruali.
2.Gogo mtu
3.Nyoka wa kibisa
....mengine mtaongeza..na sababu....
...,
..........
 
khaa hayo majina mie hoooii Gogo mtu? nyoka wa kibisa? duuuh
sielewi ngoja nikatafute kamusi
 
tena siku hizi sio mwanamme suruali tena maana hata wanawake wanavaa.

Siku hizi wanaitwa 'mwanamme shati'
 
Hao wanaume vitegauchumi wapo saSA?manake wengi mimi na wanawake ninaowahamu wanaokutana ni miundombinu a.k.a marioo.Mwaname suruali ni yule anasubiri kutuzwa na mwanamke.
 
Mnaitwa hivyo kwasabau mnataka kulelewa na nyie majukumu hamtimizi mnategemea nini??
 
Swali langu hapo juu...
Nini kinachopelekea watu kupewa majina haya yafuatayo..
1.Mwanaume Suruali.
2.Gogo mtu
3.Nyoka wa kibisa
....mengine mtaongeza..na sababu....
...,
..........


Ni niliwahi kuyasikia maneno haya yakitumika mtaani kwetu ila yalikuwa yamebeba maana zifuatazo ingawa sina uhakika sana kama maana hizi zinatumika maeneo yote ...
1.Mwanaume Suruali. - Mwanaume ambaye ni kula kulala, kazoea kutunzwa tu, haieleweki, hafanya kazi, anapiga mizinga tu na mambo mengine yote yanayofanana na hayo
2.Gogo mtu - Mwanaume asiyejituma kwenye ndoa
3.Nyoka wa kibisa - Mwanaume asiyeweza shughuli za ndoa
 
Swali langu hapo juu...
Nini kinachopelekea watu kupewa majina haya yafuatayo..
1.Mwanaume Suruali.
2.Gogo mtu
3.Nyoka wa kibisa
....mengine mtaongeza..na sababu....
...,
..........

Juzi nimesikia term mpya kabisa eti "marioo" maana yake me anatunzwa na ke!
 
Jamani mbona tunaonewa hivi??? tukijishughulisha kiuchumi tunaitwa Gogo mtu au nyoka wa kibisa...tukijishughulisha kwenu mnatuita mwanaume suruali...Mimi ninachofahamu mwanamke haridhiki na alichonacho...Mnatuyumbisha sana........
 
Back
Top Bottom