Ubaguzi South Africa: White Vs Black women debate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaguzi South Africa: White Vs Black women debate

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rich Dad, Aug 9, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamaa alianza kwa kuomba opinion kama hivi ( bila shaka huyu jamaa ni black)

  Soma majibu ya makaburu wakizungu hapa chini:
  Hapa naona black mmoja akajibu mapigo:

  Mnaweza kuendelea kujisomea wenyewe kwenye hii site hapa chini:

  m.topix.com/forum/world/south-africa/TBDA7RBRF5BKITF6V
   
 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hivi who the hell said racism itakuja kwisha?? Sad...

  Hapa tu bongo kaka/baba zetu wanachanganikiwa na wadada wenye light skin, kuliko mwenye rangi nyeusi.
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Afrika ya Kusini bado ni divided nation. Ubaguzi umekwisha on paper, lakini katika maisha ya watu upo unaonekana kabisa. Ukiwa ktk jimbo la Western Cape ambalo ndilo lenye weupe wengi nadhani, ubaguz mpaka leo upo. Ktk weusi wanaona uhalifu, uombaomba, uvivu, ukimwi nk. Inasikitisha unapoona hata ubaguzi ukifanywa na watu weusi wenzako. Mathalan, hapa nilipo ktk taasisi fulani, mweupe na mweusi, hata muwe mmeongozana, utaona unapoingia ama kutoka getini, mweusi unakaguliwa. Ama wote mkikaguliwa, utaona muda unaotumika kukukagua ni mrefu na kwa makini zaidi kuliko mweupe. Hapa unakaguliwa na walinzi weusi. Shida bado ipo tu. Kuna wazungu hapa huwa wanatamka wazi kabisa kuwa wanamiss apartheid. Shida bado ipo.
   
 4. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Ubaguzi uliumbwa na Mungu mwenyewe kwa kuamua kuwe na watu tofauti kwa rangi na muonekano hivyo hauwez kwisha kirahisi na bahati mbaya sote tu wabaguzi ila tunatafautiana kiwango tu.


  Bazazi ni Bazazi!
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wewe kuwa mweusi unahisi kuwa Mungu kakubagua???? unapenda kuwa mweupe!!!!!!

  Kujidharau kwako na kutojithamini ndio chanzo cha kubaguliwa......Kweli ww Bazaaaaazi na #%#$#%&%#*
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Marekani kwenyewe ubaguzi bado haujakwisha with all the fantasies
   
 7. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Boflo aka BWABWA, usikurupuke kujibu kwa nia ya kujibu maatokeo yake ni kujionesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri (Naamini kunatokana na tabia yako ya kupumuliwa kisogoni). Mimi sijasema Mungu amewabagua weusi.Nilichosema watu wote tu wabaguzi bila kujali rangi/muonekano wetu.

  Ndimi Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Binadamu tuna safari ndefu sana!
   
 9. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kabla hujabwajaja na ubazazi wako... unakana kumhusisha Mungu na Ubaguzi....hapo umeandika nini ....??

  Chokochoko mchokoe pweza....Boflo hutomweza!!
   
Loading...