Je, utafanyaje.....mambo yanapoenda ndivyo sivyo.....

yakienda kombo na wewe unaenda mrama...........baaaaaaaaaaaaaasii!!!!!!!


chek chanzo cha ukombo wenu...kaa mzungumze...
 
I think people forget that this world is just a test, yani we kama huwezi kutatua matatizo yako basi bora wakakuzike tu mzima mzima, huna faida ya kushi dunia.

Afu mimi sijawahi kuona nyumba haina kelele au matatizo :A S-coffee:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom