Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lutayega, Aug 2, 2012.

 1. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ilikuwa mwezi march kampuni nayofanyia kazi ilibahatika kupata wageni toka kampuni mama ambayo makao makuu yake yapo ubeligiji, wageni hao walikuwa ni wazungu toka ugeligiji. Wageni hao walipangiwa kazi katika idara mbalimbali mmojawapo alikuja kwenye idara yangu kunisaidia kazi mbalimbali za idara yangu. Mgeni huyu aliyekuwa katika idara yangu alikuwa wa jinsia ya kike na alipewa nyumba ya shirika jirani na nilipokuwa naishi.Ndani ya muda mfudi tulikuwa tumezoeana sana na huyu binti, muda mwingi baada ya kazi alikuwa anakuja kwangu kunitembelea,na mimi mara moja moja nilikuwa nikimtembelea kwake. Nilijikuta nikiwa nimezoeana sana na huyu binti wa kizungu mpaka akawa akija kunitembelea akikuta nipo chumbani naye anakuja huko huko chumbani, tabia hiyo ikavuka mipaka akawa akitoka kazini na akija kunitembelea anaweza hata akaenda chumbani kwangu na kulala. Mwenzenu nikaona kama huyu mtu ananipenda na anajigonga kwangu nikapanga nimtokee, kila nikitaka kumpa yangu ya moyoni mdomo unashikwa na kigugumizi. Jana nivyotoka job midaa ya saa 9.30 nikapitiliza hadi chumbani kwangu kujipumzisha, nilijistua mida ya saa 10.30 kuangalia pembeni yangu nikakuta huyu binti amelala tena amevaa sindiria na chpi. Sio siri nilipatwa na wakati mgumu kwanza nilitaka kumuacha mi niende zangu sebuleni ila wazo likanijia kuwa nipige game kwani amejileta mwenyewe kunipa tunda. Du nikamvua sidiria akiwa usingizini, nikaanza kushusha c..h..u..p kabla sijamaliza akawa ameshtuka. Huwezi amini kilichotokea alianza piga kelele kuwa nataka kumbaka niliomba msamaha lakini hakunielewe amenishtaki kwenye uongozi wa kampuni na leo nimesimamishwa kazi na ofisi nzima inanicheka,nasubilia maamuzi ya kikao kesho. Leo nimejaribu kumpigia sim huyu mzungu kumuomba msamaha lakini hataki kunielewa kabisa. Yaani imekuwa aibu kwelikweli kila mtu ananichekaSasa kinachonishangaza chumbani kwangu na kitandani kwangu alikuwa anafuata nini km alikuwa hana mpango wa kunipa. Jamani nimejifunza kuwa unapohitaji kitu usiconclude unayofikiria kuwa ndo na wengine wanafikiri hivyo
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kesi ndogo hyo sana nenda kwa wanasheria wa ukweli,kwanin wakufukuze kazi? Kwanin isiwe yeye ndio alitaka kukubaka? Pole sana!
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kha! sasa sijui nisema nini maana imekaa kimatani kwa sababu mie ningekuwa napewa tuhuma hiyo sidhani kama ningekuwa na nguvu ya kuingia jf kichwa kingekuwa chauma tuu
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Pole sana, l wish ungeuliza kabla usingepoteza kazi. Huwezi kumuingilia mtu akiwa usingizini, ulitakiwa umuamshe then umwambie jinsi unavyojisikia ili kama the feeling is mutual then ndio muendelee.

  Mabosi wako waswahili wakiwa wazuri na wenye msimamo wanaweza kukusaidia, lkn wakiwa ile sampuli ya kumuona Mzungu na kufyata mkia kama Dhaifu, umeula wa chuya aisee!
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ungemmega kusingekuwa na kesi hapo.... mkuu unaonekana hujawahi kucheza game za hatari; hapo ungepenyeza kitu bila kumvua, akishtuka anajikuta mambo yameshaharibika
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Pole sana wajina. Unajua wazungu wako tofauti sana na sisi , wao kukaa uchi ni kawaida sana mbele za watu! Siwezi kukulaumu sana kwani wewe ni mtoto wa kiume na mazingira yana kufanya usiwe na hatia!

  Na kushauri uombe wakupe nafasi ya kujieleza na watakuelewa!

  Soon utarudi kazini

  mpola muno.
   
 7. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Duh!! Tuombe mungu kuwa watapata muda wa kukusikiliza nawe. Pili, inategemea na mahusiano yaliyopo kati ya kampuni yenu na hao wazungu. Kama wao ndio alfa na omega, na kama mnawategema mia kwa mia-rest assured kuwa huna kazi tena. In fact hapo uliattempt rape na inaweza pia ikawa ni shambulio la aibu. Consent haikuwepo. Shida ninayoiona hapa, ni huyo binti kuleta utamaduni wa kwao kwa mbongo. Nadhani bodi itahitaj kuangalia hili pia la tofauti za kiutamaduni.
   
 8. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Nimekuja jamvini kupata ushauri nini cha kufanya
   
 9. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mi nilidhani anahitaji ndo mana akanifuata chumbani
   
 10. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aah si ungejifanya na wewe upo usingizini...yeye kaja kakukuta wewe umelala,kavua nguo kalala! Mzee kama ni kesi tafuta mwanasheria mzuri tu kama watakufukuza kazi basi watakua wamekuonea...! Waambie ulikua unaota kwani kuna ushahidi wowote hapo? ndo akome kujiletaleta!
  Pole sana bana ila siku nyingine usijaribu na si kwa mthungu tu, kuna mataifa mengine wamezoea kuishi hivyo, ila kwa mbongo ukiona hivyo neema hiyo,
   
 11. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Asante kwa ushauri mdau
   
 12. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mdau mi ntafanyia kazi ushauri wako ila ushahidi upo alipiga kelele majirani walikuja na walishuhudia kilichotokea ingawa tulikuwa tumeshatoka chumbani
   
 13. salito

  salito JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  KiongoZi pole sana chalii yangu...
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu hakijasemwa hapa.

  Habari haiyumkiniki.
   
 15. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hii tunaita ni CULTURAL ACCIDENT
   
 16. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe ndo ulimfuata kwake au yeye ndo alikufuata kwako?kama yeye ndo alikuja kwako then wewe ndo umebakwa na sio yeye! Jieleze vizuri watakuelewa.
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  You don't seem to be hurt sana, l hope ni story tu na umeiweka ili iwe funzo kwa wengine!
   
 18. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Tatizo hukuwafahamu wazungu tabia zao. Kama angetaka kukupa lazima angekwambia. Wao wanataka kila kitu mapatano ndio matendo. Tambua kuwa wao kuona chupi ni kitu cha kawaida hasa wakiwa beach. Wenzetu hawasisimki ovyo ovyo! Halafu ni afadhali kama ungemvua chupi tu na kuacha sindiria bila kuigusa! Kuexpose matiti ya mwanamke wa kizungu tena bila mapatano usipime! Huenda ndio kilichomkera zaidi! Kwa kweli ni ishu, tukiacha wale waliojizira kwenye picha za X. Kama alivyosema
  Kaunga ungemwamsha na kujieleza kungekuwa na uwezekano wa kupewa hata kama ni siku nyingine.
   
 19. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika kesi ya kubaka kelele si issue, issue ni ushahidi uliopo, ndio maana siku hizi wanataka mtu akibakwa aende hivyo hivyo! anyway unaweza kushinda kesi but kutakuwa na kaimani flani kameshawaingia watu juu yako! nahisi kama ukimfuata boss ukaongea nae vizuri atajua how to handle it....all the best,
   
 20. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pole sana kwa mahasibu. upo hatarini maana alikuwa kalala so anaweza kudai ni attempted rape :(, jitetee kwwa kusema ukweli wote na situation ilivyokuwa na kwamba alikupa mixed-signals, and hope for the best. Ushauri for the future ni ukiwa unadeal na wazungu ask first, unawezadhani umepata signal kumbe mwenzio ni kawaida nk. wao sio wabongo wanaoona aibu, akitaka kitu anasema
   
Loading...