Nahisi Simtendei Haki Na Jitihada Zangu Zote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi Simtendei Haki Na Jitihada Zangu Zote!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Signora D, Aug 9, 2012.

 1. Signora D

  Signora D Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni newcomer hapa ofisini kwetu, na kwa bahati mbaya session yetu ina wanawake wengi wengi kuliko wanaume, nikisema hivyo namaanisha maboss wangu wanne ni wa kike na wawili ni wa kiume wote WAMEOA NA KUOLEWA!
  na kwa bahati mbaya nimewekwa meza iliyo opposite na boss wangu wa kiume! shida inakuja, kuwa tangu naingia hapa ofisini nahisi huyu mkaka anakosa kuwa huru kabisa, najitahidi sana kwenye mavazi yangu nisije kumtega somehow or other but sijui ni kipi kinachomfanya akose uhuru wake aliyekuwa nao kabla ya mimi kuja hapa! imefikia sasa anakuwa anaenda kujificha library watu wakimuuliza anasema anahitaji concetration zaidi kitu ambacho si sahihi kwa wengi walivyomzoea, nakosa amani naamini mimi ndo cha chanzo cha yote! juzi wakati tupo kwenye mkutano alikuwa akiniangalia mno kiasi kwamba mpaka hawa wamama wamejua kuna hali ya utofauti! sijui nifanyeje jamani wanajf naombeni ushauri! sitaki hawa maboss wangu wa kike waone mimi ndo chanzo!!!
   
 2. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hapo Bi dada zungumza na bosi wako wa kike akuhamishe meza, Ndoa ya mwanamke mwenzio iko mashakani, onyesha unajali ustawi wa familia.

  If this man is that cunning, basi hapo anachukua credit toka kwako ili akija kukutongoza anakuambia, 'kwa kweli nimejizuia nimeshindwa'
  Na wewe si umemuona anakukimbia kabisa, basi unaona kakupeeenda! kumbe hakuna lolote haki ya mama tena!

  We vaa vizuri komaa na kazi
   
 3. Mwanamke.

  Mwanamke. Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  That is one big piece of advice!
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Upo kazini fanya kazi...mpaka atakapofunguka
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  But u can take it in a positive way...kaa kwenye kiti chake uwe boss wake then fire him....

  Again unawezekana ukawa "haumvutii to a way anaona kukaa na kuzoeana na binti mbovu kama wewe ni kichefuchefu ndo anaamua kukuepuka"

  pia unaweza kukomaa bila kusema chochote uone atasemaje then njoo tukupe majibu...what if anakuambia "sikupendi"...si utahama ofc....akikuambia "nakupenda na ameoa na wewe anataka uwe mke wa pili kama sie waislam mwisho wa-4 utakataa?
   
 6. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Unavaaji hapo ofisini!? Maana usije ukawa unavaa yale mavazi yenu mnayoyaona ya kawaida kwenu kumbe kwa wengine ni utata.
  Mnayajua na mnajua kabisa kwamba yanatega!
   
 7. S

  Starn JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama unavaa kibongomovie lazima asiwe huru mavazi hayo yatakuwa yanamuharibia siku
   
 8. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Petcash. This is brilliant piece of adv!!
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Isije kuwa wewe ndo umemzimikia boss wako ndo maana unamhisi hivyo???
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kama ni muislamu, mwambie aache tu! hakuna mfungo hapo!
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Duhh! Hapo kazi ipo, bt I think Mawazo yako huenda yakawa yanakupeleka kusiko, yeye hajafunguka kwako, kwa nini usifanye kilichokupeleka kwenye hiyo ofc? Au unataka akutokee?

  Don't judge a book by it's cover! Fanya kazi! Huenda hata hao kina mama wameanza kukushtukia kwa jinsi wewe mwenyewe ulivyo na sio mabadiliko ya huyo boss kijana!
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  angalia marashi unayotumia wengine wako allergic na hawezi kukuambia.
  kama ni ishu ya mapenzi angeshaonyesha ukaribu zaidi na vi lunch vya hapa na pale.
  mayb yaweza kuwa hivo
  na pia u can tok to him kwa kumtania mbona wakimbia kiti boss?
   
 13. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kuwa serious na kazi yako, why are you so bothered na yeye? ukionekana kumjali sana utaleta maswali mengi ofisini, yeye si bosi kama ulivyosema akiona hawezi atatafuta seat nyingine au hatakuamisha mwenyewe dont be much conserned about him unless ameanza kuuteka moyo wako.
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Nimegundua kuwa wewe uko cool sana ndio maana ana kosa hata uhuru.

  Chakufanya anza kumpigisha stori atazoea na atakuwa huru.
   
 15. E

  Executivesister JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Hali hii ni ya kawaida kuwapata wakaka hasa wenye macho mengi wanapomuona mdada yoyote mpya kwa ofisi,me mwenyewe iliwahi nitokea kipindi flani hivii nikiwa nafanya kaz bank.Ni hali ya kawaida na huwapata wanaume wengi kwa sababu wao wameumbwa na tamaa,kaz kwako kuzuia hiyo tamaa isiende mbali.
  Zingatia mambo yafuatayo uwapo kazini
  1.Usivae nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi hata kama wewe unaona ni za kawaida.
  2.Unapokuwa ofisini kuwa kama mfanya kazi na sio msichana,acha tabia za kisichana nyumbani
  3.Muheshimu huyo kaka na ujiheshimu mwenyewe hapo hajakuzoea akikuzoea ataacha kukuangalia.
  4.Do not date a fellow employee itakucost my dia
  5.Omba ushauri kwa mmoja kati ya maboss zako hao wa kike hii itakuondolea hofu ya kujadiliwa hapo ofisini.
  6.Ukikutana nae msalimie kwa uchangamfu na heshima bila tone la aibu atakuheshimu na hatokutamani tena.
  Ukizingatia haya utaishi ofisi yoyote kwa amani sana dadaangu,All the best
   
 16. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Signora D, nikupe pole kwa masaibu yanayokukuta. Lakini kwa nini ufikirie zaidi kuhusu kukutamani na sio kukuchukia? Hebu toka nje ya sanduku na uuone mwanga vizuri labda utapata ukweli wa nje ya sanduku.

  Lakini ukiona vipi omba kubadilishiwa kiti.

  Mwisho maumivu ya kichwa huanza taratibu na yasipotibiwa huleta umauti.

  Ndimi Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Umemaliza kila kitu..what a constructive advice!!!
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  wait a minute!NAHISI SIMTENDEI HAKI, unataka kumtendea haki gani we dada?mi sijaelewa hapa?kwani haki yake hapa ni ipi?
   
 19. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  juzijuzi na yeye aliomba ushauri hapa kwamba kuna binti newcomer anamzingua yani kila saa ni matatizo sijui umempa nini, naona ameamua kukimbia yasije kuwa majanga! tafuta sredi za nyuma utampata afu m-PM kwa maelezo zaidi.
   
 20. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Anataka ammpe majamboz lakini kwa kuwa jamaa hajaanza kusema! Hapa inaonekana yeye ndo anapata shida na sio jamaa!
   
Loading...