natafuta mchumba

Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea

Upo tayari kuwa mtumishi wa kumsaidia bii mkubwa kazi za nyumbani baada ya mihangaiko ya kila siku ya uzalishaji mali? kuna miradi mingi sana ambayo bii mkubwa anendesha ambayo inahitaji busness manager ambaye ni graduate kama wewe kuisimamia. Attributes za manager ni utii na unyenyekevu mkubwa kwa bii mkubwa, kunipatia mimi huduma zote anazostaili mume kwa weledi wa hali ya juu kabisa bila chembe ndogo ya maringo na kwamba kwa namna yoyote ile hutafisidi miradi ya familia . kama upo tayari tuwasiliane mkalaini@gmail.com
 
Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea
Ni ipi hyo namba nane au....ys
 
Hadi raha. kila anaye kuja anatutaka sisi warefu. duh!. Mimi nina kila sifa unayo itaka but sina mpango wa kuoa leo wala kesho. Mi nmepenga kuoa 2015 mara chadema itakapo chukua dola. vipi utaweza kunivumilia. Mimi namjua Mungu na spendi uasherati wala uzinzi. Je wewe umetulia kweli?, maanake mi nikipenda nimependa. kama vipi nipm ili tuyaongee vizuri. manake naweza kushangaa mwishowe nikakosa mke mwenye sifa kama zako. figganigga@jamiiforums.com.
Mia
 
Tunaangalia seriousness yake ndiyo maana tunaomba pm.
Ni pm tunaweza kumatch.


Aisee vidume vimeisha, yani mdada keshaweka bango halafu pia mnataka amipm, kesho yeye atoe offer ya outing! Nilidhani ni udomo zege but this is more than that!
 
Sioi Leo, Sioi Kesho, wala mtondogoo,
Sioi Mchana, Sioi Usiku, Wala Majogoo,

Alielala na Bibi Harusi,
Siku moja kabla ya Harusi,
Na wala sio Bwana Harusi,
bado mnanishauri Harusi??

Hamuwezi kua hamjaelewa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom