King'amuzi cha kileleni feki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

King'amuzi cha kileleni feki...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, May 4, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi kuwa macho na mgema unaposifiwa......
  Mara nyingi ni kuwa mnywaji anakujengea hoja ya siri....
  Mara nyingi mgema huvimba kichwa na kudhani mambo shwari
  Mara nyingi mambo huwa siyo shwari hata chembe ila hadaa..
  Hivi kileleni feki utakitambuaje?

  Mpenzio huweza kujifanya mjuaji kwa ghiliba kibao
  Na kujitia karidhishwa na dhoruba ulizomletea!
  Kumbe wote ni usanii wake wa kufupisha karaha zako..........
  Kwa vile kaboreka huhitaji basi yaishe naye apumzike
  Hivi kileleni feki utakitambuaje?

  Dalili nyingi hukuachia lakini wewe hukupofusha na misifa!
  Siri ya kung'amua utapeli huu ni kumjua mjenga hoja...
  Hukusubiri ukikaribia kileleni naye kuanza vioja!
  Lengo ni kukuharakisha kwa ukelele na mauno balaa..
  Hivi kileleni feki utakitambuaje?

  Huku hadaa yake ni kuwa naye umemfikisha alikotaka!
  Yawaje kila mechi twende sote kileleni kama siyo gheresha zake?
  Ukidhani mpo wote basi nawe kulainika na kujiachia!
  Kumbe sasa umekuwa teja wa mbinu zake hadaa..
  Hivi kileleni feki utakitambuaje?

  Ukiona naye kakomesha vimbwanga vyake baada ya wewe..
  Basi jua amekuchora na tafuta mbinu mpya ya kumkabili.......
  Hakiki pumzi yake kama nayo imekatika ghafla...
  Ukiona kanywea na akushurutisha ubanduke basi jua umeliwa.......
  Hivi kileleni feki utakitambuaje?

   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mkuu wengi ni hao wa kufake
  Milio na malalamishi kuwa hapo ni kwake kumbe ataka kukuibia au umalize umuondolee kero
  Jiangalie sana na wala usijisifu sana kuwa umeweza waweza kuwa umechafua tuu kisima maji hujachota
  Na atokapo hapo haishi kulalamika ulivyochafua mto wake wakati hata maji hukuchota
   
 3. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mh! Haya banaa...
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kileleni feki ni vigumu kuitambua iwapo upo na Mgeni lakini iwapo upo na mtu wako wa siku zote lazima utafahamu ipi ni feki na ipi ni harisi unless iwe hujawahi kumfikisha kunako kilele:third:
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa hawa wa hapa na pale si rahisi akapata kilele,
  Maana akili zake ziko kunako mfuko wako.
  Anawaza akutoe wewe Yohana fasta, amfuate bwana Faraji.
  Kilele ni akili kutulia na kufikiria penzi tu!
  Ndipo hapo viungo hushirikiana na kumzawadia mfanyaji!
  Kwa hawa wa barabarani ni ngumu kufikia kilimani!
  Na hakika si rahisi ukabaini janja yao!
  Atakupamba kwa bashasha na kukupa urijali wa kuunga na gundi,
  Atakuramba uso na eneo la tukio, ili kukughilibu akili.
  Atakujulisha kuwa wewe ni wa kwanza kumjuza kunako mahaba ya peponi,
  Huku taratibu akikung'atang'ata kidevu kwa meno yake!
  Nawe utajiona Tyson wa ukweli kama si ronadinyo!
  Na utachimba zaidi kunako mifuko ya sarawili!
  Na usafiri utamkodishia, au Noah ya rafiki utaiazima,
  Ili umrudishe kunako maskani yake,
  Akifika kwake abadili mavazi, na kutundika kimini cha samawati,
  Anaanza kumDIPU Rutashubanyuma, amwambia "nimetoka kwa shangazi Mkanyageni"
   
 6. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ni kweli sometimes hua 2nafake ili msijisikie vibaya..ukimzoea sana muhusika ni rahisi kujua fake na original lol!
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ila wanawake ni wazuri sana kwenye ku fake orgasm........ Sometimes, unaweza usijue, hasa ukikutana na professionals.
  Mbaya zaidi, wanawake wengi wakifika orgasm huwa hawasemi kabla, na mwanaume anaweza asijue.

  Lakini, hata wanaume, kuna wakati wanafake sana, na kama amefaa kinga, mwanamke anaweza asishtuke kabisa....
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  naona Mr Rocky uko njiani kwenye hii tasnia.......nimependa mtiririko wako.................lakini usisaha..mgema ukimsifia tembo hulitia maji........
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  [h=2][/h]
  yeah ni kweli lazima umjue mnywaji wako siyo tuwe mabingwa wa kugema tu..............[MENTION]@purple[/MENTION]
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Okada hii ya wanaumme kufeki ndiyo nimeisikia leo...........[MENTION]@okada[/MENTION]
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  tunakazi ya kutambua mbivu na mbichi.....na anayekutapeli hapo ujue mambo yake yote ni utapeli mtupu......ujihadhari naye.........
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Ezan kama una king'amuzi nilichokodokezea lazima utamjua tu tapeli wako............[MENTION]@Ezan[/MENTION]
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  ossy king'amuzi sasa umepewe ushindwe mwenyewe............[MENTION]@ossy[/MENTION]
   
 14. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Ukiona demu anaomba maji ya kunywa baada ya mechi ujue ulishamfikisha kileleni!
   
 15. Sydney

  Sydney Senior Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du... hii nayo kweli hali ya maisha. Hivi inawezekanaje ukabuni raha za mahali kama hapo? kama sio wizi wa kimacho macho?
  kuweni makini jamani maana kama mmelibaini hili basi muwage mnachunguza na kuhakiki, sio unatoka kumkung'uta mtu kisha unawaweka wenzio kijiweni kisha unawaambia nimemonyesha kazi mtoto, kapiga mikelele balaaa, macho mekunduuuu, kumbe mtu kayafikicha. Hapo utakuwa umeliwa wewe! na kama ni mchana basi kweupeeeeeeeeeeeeeeeee!
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Sometimes...you make my day but not today....usichojua maji hayana uhusiano wa moja kwa moja na kileleni..............akiomba maji ni kuwa kaishiwa na maji baada ya kumiminikwa na jasho kibao...[MENTION]@sometimes[/MENTION]
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  sydney...............umenichekesha sana hadi mbavu zaniuma........................[MENTION]@sydney[/MENTION]
   
 18. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  dah,kweli huu mtihani mjomba japo mi hata akiwa 'mpya' kwangu nitajua tu.sasa mtu wangu wa siku zote ata-fake vipi?namfahamu nje-ndani,akiridhika najua na kama siku sikuwa kwenye fomu hata mimi tu nakuwa najua nimechemka.
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Rubuye123....wewe king'amuzi chako kinakupa ishara zipi za kumfahamu anapofeki? [MENTION]@Rubuye123[/MENTION]
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu kuna njia moja kuu ya kutambua kilele feki
  mkishamliza mechi na yeye akaku laghai amefika kileleni kumbe hajafika
  ni rahisi kumtambua, kwanza atajivuta atakaa kitandani, atachukua simu yake au gazeti/ kitabu atajifanya anasoma au atakuuliza vipi leo hujaja na gazeti la Uwazi,Sani au whatever? au kesho utaondoka saa ngapi?? hapo utakuliwa umeliwa na huyo ni tapeli, na wakti wa mechi alionyesha kafika kileleni..

  na aliyefika kileleni live, baada ya Mechi hua anachoka sana ni lazima atauchapa usingizi hata kama ni kwa saa moja

   
Loading...